Ufisadi na Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi na Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TWIZAMALLYA, Mar 6, 2012.

 1. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ufisadi unakula nchi yetu na unataka kuimaliza,haya matatizo yote ni matunda ya mdudu ufisadi,mdudu huyu amepelekea hata wafadhili wetu wasiwe na imani na serikali yetu kiasi cha kutoa hela kwa manati.Kwa jinsi hali inavyokwenda ninawasiwasi kuna majanga makubwa zaidi yatakuja.Ni muda mwafaka WATANZANIA tukajadili mambo ya msingi yanayotukabili.Moja ya kitu cha msingi ni kuangalia baada ya JK, nani anafaa kwa Uraisi mwaka 2015?.Taking into consideration all matters concerning corruption.Je ni nani anafaa kuwa mgombea uraisi kwa upande wa CCM ambaye hana doa la ufisadi?.Nimeuliza hivyo kwani karibu kila mtu ndani ya chama tawala amehusishwa kwenye ufisadi.
   
Loading...