Matumizi ya Nyaraka Feki kupata Mikopo Bank nchini:Maofisa wa ma bank wanahusika

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Jamaa yangu alimpangisha nyumba yake. Mpangaji akapiga picha kwenye hiyo nyumba na kutengeneza document na mihuri feki kwamba hilo eneo ni lake. Akawahonga baadhi ya viongozi wa serikali ya mitaa wakasaini hizo document kwamba hiyo nyumba ni ya kwake.

Jamaa akatumie hela akawahonga maofisa wa mabenk mbalimbali na kuwapatia kiasi cha hiyo mikopo, ili wasiangalie sana hizo documents zake. Alifanikiwa kupata mikopo mbalimbali kama vile Finca, NMB, etc.

Cha kushangaza baada ya huyo mpangaji kuondoka 8 months later, mabank kadhaa yakawa yanajitokeza kudai huyo mpangaji alichukua mkopo kwa kutumia udhamini wa nyumba ya mpangaji wake. sasa sijui hii imekaaje? inakuaje mtu unapiga picha na nyumba inakua basis ya kupata mkopo? huu sii wizi jamani?

...........ina maana kazi ya mabank ni kufanya wizi? Tanzania kila kona ni wizi na dhuluma? katika ufatiliaji mpangaji alikamatwa na kukiri kufanya hiyo na kuanza kulipa mikopo yake lakini pia alikiri maofisa wa ma bank kupokea hongo ili kutoa hiyo mikopo
 
jamaa yangu alimpangisha nyumba yake. Mpangaji akapiga picha kwenye hiyo nyumba na kutengeneza document na mihuri feki kwamba hilo eneo ni lake. Akawahonga baadhi ya viongozi wa serikali ya mitaa wakasaini hizo document kwamba hiyo nyumba ni ya kwake. Jamaa akatumie hela akawahonga maofisa wa mabenk mbalimbali na kuwapatia kiasi cha hiyo mikopo, ili wasiangalie sana hizo documents zake. Alifanikiwa kupata mikopo mbalimbali kama vile finca, nmb, etc. Cha kushangaza baada ya huyo mpangaji kuondoka 8 months later, mabank kadhaa yakawa yanajitokeza kudai huyo mpangaji alichukua mkopo kwa kutumia udhamini wa nyumba ya mpangaji wake. Sasa sijui hii imekaaje? Inakuaje mtu unapiga picha na nyumba inakua basis ya kupata mkopo? Huu sii wizi jamani?...........ina maana kazi ya mabank ni kufanya wizi? Tanzania kila kona ni wizi na dhuluma? Katika ufatiliaji mpangaji alikamatwa na kukiri kufanya hiyo na kuanza kulipa mikopo yake lakini pia alikiri maofisa wa ma bank kupokea hongo ili kutoa hiyo mikopo

jamani tuwe na akili, hivi hii ni habari ya kisiasa??????? You are so stupid. Kujua kushika mouse tu kosa, unajifanya unatengeneza thread. Shame on u
 
huu mchezo umshamiri sana hasa kwa mabenk yanayotoa mikopo midogo midogo kati ya 1M-20M. maofisa wa mikopo wa ma bank wanachukua 10%, hata documents hawaangalii. Tena hizo documents feki wanandaa na wateja ili wapate mkopo na sehemu ya hizo fedha wanalamba.........tanzania wizi kila mahali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani tuwe na akili, hivi hii ni habari ya kisiasa??????? You are so stupid. Kujua kushika mouse tu kosa, unajifanya unatengeneza thread. Shame on u

nina hisi wewe utakuwa mmojawapo wa maafisa wa ma bank mnaofanya hii biashara ya kutafuta utajiri wa haraka...
 
jamani tuwe na akili, hivi hii ni habari ya kisiasa??????? You are so stupid. Kujua kushika mouse tu kosa, unajifanya unatengeneza thread. Shame on u

Hili sio kosa la kumuambia mtu ni so stupid. ukiwa hakimu wewe utahukumu waiba kuku kunyongwa.
 
ten percent hizo....
Kawaida loan officer si anatakiwa akafanye search kucomfirm umiliki wa mali ambayo mteja anaweka bondi? Je search ilifanyika?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom