Wananchi wavunja kituo cha polisi na kuchoma moto nyumba za askari polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wavunja kituo cha polisi na kuchoma moto nyumba za askari polisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmbangifingi, Mar 5, 2012.

 1. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kuna habari,, wananchi "wenye hasira kali" Wilayani Chunya wamevamia na kuvunja kituo cha Polisi Lupa Tinga Tinga kisha kuchoma moto nyumba mbili za askari polisi na moja ya raia. Tukio limefuatia baada ya askari polisi hao kumuua kwa kipigo Said Msabaha,mwanafunzi wa kidato cha pili katika Sekondari ya Lupa Tinga Tinga kwa tuhuma za kuiba simu ya mkononi. Aidha wananchi hao wamechoma moto duka la vinywaji linalomilikiwa na askari polisi mmoja kijijini hapo. Mwenyekiti wa kijiji cha Lupa Tinga Tinga William Mbawala amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

  MY TAKE:
  Hii ni dalili ya wananchi/raia kuchoshwa sana na ukatili wa wenzetu hawa askari polisi waliotazamiwa kuwa walinzi wa raia na mali zao. Where will it end?
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jeshi la polisi tunakwenda wapiiiiiiiiiiiiiiiii kwa mauaji haya ya wananchi kila kukicha kila kona ya nchi hii na viongozi wa juu kuona ni haki tu?
   
 3. T

  Twinky Senior Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 10, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ealio wezi wa mamilioni wanajulikana na wanawajua MBONA HAWAWAPIGI HADI WAFE. wanawaonea wezi wa kuku na simu??..... It hurts kwa kweli
  SHAME ON YOU POLISI
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Saed Mwema katika hili Hassani Tabora na lile la Saed kule Lupa nalo kazi itakua ni muomba radhi na watu kusahau sio? Tunajenga uhusiano wa aina gani kati ya polisi na raia hivi sasa???

  Je wale vijana walioona kijana mwenzao akichukuliwa pale walikokua wanacheza pool na jinsi gani kupatwa na mauti kinyama kiasi hicho mbele ya macho yao hadi hapo Waziri Nahodha utakua unaona kitu gani kitakachofuatia hapo kote nchini??????

  Wanaharakati nchini, enyi walinzi wa haki za binadamu mko wapi wakati haya yote yakiendelea kuwakumba wananchi kila kona ya nchi kila kukicha?

   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Waacheni wachome kabisaaa, wanaunga mkono wachome na ofisi za mabwana wao ccm pia, wachome vituo vyote vya mbwa wa ccm, pumbafuu zao hawana adabu kama mbwana zao. Piga moto vituo vyote na bila kusahau kuwachoma moto na hao mbwa wa ccm
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  It will end kwenye freedom ya ukweli, Hii nchi inahitaji kukombolewa kutoka kwenye utawala wa kipumbavu na kuelekea kwenye utawala wa Sheria
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Chunya Wana AKILI SANA.

  Watanzania tuache kulialia kama watoto wadogo.

  Sasa naelewa wale Wababa wanaopiga watoto wao wakija nyumbani wanalia na kisa eti "wamepigwa."
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Polisi au Mbwa wa CCM, they will lead us to Freedom land
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tuna hasara tosha kwa hawa askari.

  Namwamini mbwa wangu pale nyumbani kuliko askari wa leo hii hapa Nchini!
  Ni kheri itafutwe kampuni moja ikabidhiwe kazi hii na wote waliopo wafutwe!

  Haki imetoweka kbs kwa wanainchi wapenda Nchi yao!
   
 10. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  RCO mkoani Mbeya Elias Mwita kaishia kushawishi/omba baba mzazi wa marehemu aupokee mwili na kuuzika badala ya kukamata askari wote waliohusika,its real shame
   
 11. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  i m shocked!
   
 12. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  WALIAMBIWA BILA KUTENDA HAKI NCHI HAITATAWALIKA! Wanajidai ubishi.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Big up wana Lupa Tinga Tinga na iwe mfano na warning kwa askari wote nchini apana chezea raia.
   
 14. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Nionyesheni kwa ustaadhi Masaburi nimpelekee swali hili: "IGP MWEMA NA WADOGO ZAKE WANATUMIA NINI KUFIKIRI?"
   
 15. Imany John

  Imany John Verified User

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Msumbiji wazima???
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  utakuta kasimu kenyewe ka vodafone ka elf 10 wanatoa uhai wa kijana wawatu,
   
 17. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii ni kauli nzito ajabu hapo kwenye RED.

  Pindi wananchi tunaposukumwa kiasi hiki na hata kufika mahala na kujionea kwamba sasa hadi hapa ukweli wa mambo ni kwamba kitu HAKI NI BIDHAA AMBAYO TAYARI IMETOWEKA, hakika nakwambieni, vitendo vitakavyofuatia mara baada ya maafikiano ya aina hii kati ya mtu na nafsi yake mara nyingi hufuatia wazo la 'KAMA UNYAMA NI UNYAMA TU'.

  Rais Kikwete vuia nchi kwenda hapo, zuia vijana wako kutuua la sivyo wananchi tutaanza kusema yametosha hatutaki tena mbichi hizi!!!!!


   
 18. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  kumbe arusha tulikoseaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  askari ana miliki duka la vinjwaji!enzi za nyerere huyu askari angeipata!ndio maana wizi rushwa haviishi
   
 20. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  badala ya kuwalinda raia wanawalinda mafisaidi........sasa raia tunajilinda wenyewe!
  na mwendo ndo huohuo
   
Loading...