Malori yalobeba watu waliovaa kijani ya ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malori yalobeba watu waliovaa kijani ya ccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Mar 6, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakuu nipo pande za Tarakea huku naona malori pamoja na ma V8 yalobeba watu waliovaa kijani ya ccm yanatokea upande wa moshi kuelekea Tarakea sijui magamba wana mishe gani leo huku maana nasikia mkuu wa kaya jana alikuwa himo, mtujuze wenye taarifa zaidi
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,093
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  nilidhani malori yanaelekea arumeru mashariki.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Yatakuwa yametokea Arumeru hayo
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hapo ndio gwandas wanaponifurahisha, hawana mchezo tena, wanakwenda na nguvu za ziada. Na nyie wachagga mkijidai kuleta fujo huko, mnakula mkong'oto tu.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hueleweki
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  j.k yuko huko anafanya utalii wa ndani.
   
 7. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ata mimi
   
 8. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280

  Kama mkuu wa Kaya yupo huko, hiyo ndiyo style yao ya kukusanya wanachama toka mikoa ya jirani ili njano na kijani zionekane zimefunika uwanja. Kwani wasipofanya hivyo mkuu anaweza kuhutubia nyasi.

  Inakubidi uyazoee hayo; na bado utayaona magari mengi toka mikoa ya jirani kama Tanga, Arusha na Pwani kuja huko Kilimanjaro pindi mkuu yeyote akiwa huko.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...