Polisi waua raia Urambo

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078

Kijana aliyepoteza maisha akiwa chini ya ulinzi wa askari waliompiga kwenye pikipiki ya miguu mitatu

hivi karibuni nilikuwa katika wilaya ya urambo mkoani tabora ambapo kijana mmoja aitwae hassan mgalu akiwa katika soko la wilaya hiyo aligongwa na baiskeli na aliye mgonga alikuwa askari aliyevaa nguo zakiraia baada ya hassani kugongwa na askari huyo hali ilikuwa hivi


hassani; kwanini umenigonga ?
askari ;kwanini unataka nini?
hassani;yani unanigonga na baiskeli na unasema nataka nini?


hassani akampiga kibao askari huyo ambaye alikuwa amevaa nguo za kiraia


kufatia hali hiyo askari huyo aliondoka na kuwafata wenzie ambao walikuwa na nguo za kirai na walimkuta hassani akicheza pull katika eneo la standi ya zamani wilayani humo ,mmmmh,wamshushia kipigo cha hali ya juu na kumvuta kwa moja kushika mguu wa kulia na mwingine mguu wa kushoto kichwa kikijibuluza chini umbali wa mita 2000
mpaka karibu na ofisi ya ushirika ya urambo na benki ya nmb
ambapo walimtupia katika bajaji hiyo ambayo unaiyona katika attach mmoja akiwa amemkanyaga kichwa chake,


kutokana na mateso makali aliyoyapata hassani alipoteza maisha ,
katika jalada lililofunguliwa kwenye kituo cha polisi urambo maelezo yaliandikwa amepigwa na wananchi wenye hasira jambo ambalo si kweli na lilileta utata kati ya wanafamila na wananchi wa eneo hilo ,ni meeandika haya ili upate picha
je askari anahaki ya kumpiga raia ,manyanyaso haya ya raia kwa kutofahamu sheria mpaka lini,umegongwa na baiskeli,unapingwa na hata kutolewa uhai wako tutafika?


 
Polisi wahuni jeshi la polisi muwasafishe ndo wanao lichafua jeshi la polisi
 
Back
Top Bottom