Kwa wakazi wa Jiji langu la Arusha/ Sijui Mikoa nyingine kama itawakumba!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Habari nilizonazo nikwamba watumiaji wote ama niseme wateja wote wa Manjis Gas & na kampuni zingine wanashughulika na mambo ya uuzaji wa Gas hapa Jijini Arusha,kuanzia kesho tar 7/ 03/2012 bei ya gas itapanda kama ifuatavyo:

6kgs toka Tsh 21,000/= hadi Tsh 24,000/=

15kgs toka Tsh 52,000/= hadi Tsh. 58,000/=

Ole wenu mnao tumia matumizi haya!

Nilipoinyaka nikasema niwajuze ndg zangu wanaJF wajue hili mapema!

Siju hawa mafisadi watatufikisha wapi!

Na hbr ndiyo hiyo kwa wakazi wa A town!
 
Kweli wameanza kazi yao!

Wameona tunafaidi nini?

Kuanzia leo ctumii tena!
 
ewura wanafanya nin? wamelala usingizi wa pono?

samito! Nawe unaulizia Ewura?

Hawa si ndio fluu ufisadi!

Iliporushwa thread hii nikajua ni uongo kwn haikuwa na source,sasa leo nikawa nimedamka nikafika pale Manjis Bp kwa kweli niliyoyakuta ni kama jamaa alivyotujuza!

Ama kweli makampuni wanajibandikia faida tu kama watakavyo!

Na kwa hali hii cjui kama tutafika!
 
Ilopo tunatumia mbadala wake mkaa na kuni kwani kwa njia hiyo tutaharibu misitu ambayo madhara yake yatatuafect wote bila kujali hao mafisadi wala wananchi wakawaida
 
ewura wanako makini na tozo tu basi ila sio operations za taasisi na idara wanazosimamia.
bora maisha kwa kila mtanzania.
 
Ewura wako kwenye mchakato wa kupanga bei na watakuja na upembuzi yakinifu mapema tuu kuwajulisha kwa nini gesi imepanda bei
 
Ilopo tunatumia mbadala wake mkaa na kuni kwani kwa njia hiyo tutaharibu misitu ambayo madhara yake yatatuafect wote bila kujali hao mafisadi wala wananchi wakawaida

au tutagoma kupiga na kuanza kula magengeni.........
 
gas bei juu, mkaa bei juu, kuni pia ni gharama kama ulikuwa hufahamu, umeme mmmmh.... usiguse
 
Kila corner ninayoipita wanakouza gas yani wamebandika tangazo la gesi kupanda leo!

Duh! Kazi kweli kweli!!
 
Cjui tumelogwa,ukiwauliza wahusika eti tuwaulize serikali,au ndo tunachanga pesa za Vasco anayeitesa hii Tz,hana uchungu wowote na Wtz,madoc wanagoma haongei,kila mtu akijisika anapandisha bei anavyotaka,inajihirisha jinsi Wtz tulivyo mbumbu,wajinga,tunashindwa kuuliza why all these???????????????????????????????????????????
 
Hivi hii ndo matokeo ya ile kauli ya kila siku kuwa nchi imeuzwa nini?

Umeme haushikiki,
Tutalala giza..............

Kuni hazipatikani,
gasi Bei juu,
Mkaa bei juu,
unga umepanda bei,
Mchele umepanda bei,
sukari imepanda bei,
chumvi nayo bei juu,
Maharage bei haishikiki,
mboga za majani hakuna mvua imechelewa kunyesha

Tutalala njaa................

Tutakwenda hospitali
tutakuta madaktari wamegoma

Tutakufa......................

ADHIMA YAO ITAKUWA IMETIMIA.
TUJIKOMBOE KABLA HATUJAFIKA HUKO.

Mwananchi jikomboe.
 
Ewura wako kwenye mchakato wa kupanga bei na watakuja na upembuzi yakinifu mapema tuu kuwajulisha kwa nini gesi imepanda bei

sababu yoyote watakayoitoa si suruhu na unafuu wa maisha kwa watanzania!
waje na jibu kama nchi imeuzwa tujue, nchi haiwezi kuendeshwa kama familia ya Baba na Mama wenye watoto watatu eboh....
 
sababu yoyote watakayoitoa si suruhu na unafuu wa maisha kwa watanzania!
waje na jibu kama nchi imeuzwa tujue, nchi haiwezi kuendeshwa kama familia ya Baba na Mama wenye watoto watatu eboh....


Mkuu unategemea hawa jamaa wana lolote
Lishakuwa jibwa lisilo na meno ya kung'ata na linabweka tuu
Tutafungia kampuni zitakazopandisha mafuta! holla
Tutafungia kampuni zitakazochakachua mafuta ! holla
Tutafungia wawekezaji watakaokaidi kuuza mafuta ! Holla
Tutawapeleka mahakamani wote watakaohodhi mafuta !Holla
Yaani kazi yake kubweka tuu na jioni anaingia ndani kujificha analala
Wezi wanafanya wanalotaka bila wasi wasi maana mbwa koko kalala usingizi wa pono
 
Hivi hii ndo matokeo ya ile kauli ya kila siku kuwa nchi imeuzwa nini?

Umeme haushikiki,
Tutalala giza..............

Kuni hazipatikani,
gasi Bei juu,
Mkaa bei juu,
unga umepanda bei,
Mchele umepanda bei,
sukari imepanda bei,
chumvi nayo bei juu,
Maharage bei haishikiki,
mboga za majani hakuna mvua imechelewa kunyesha

Tutalala njaa................

Tutakwenda hospitali
tutakuta madaktari wamegoma

Tutakufa......................

ADHIMA YAO ITAKUWA IMETIMIA.
TUJIKOMBOE KABLA HATUJAFIKA HUKO.

Mwananchi jikomboe.

Mkubwa!!

Hakika hali si nzuri kbs!
Nilikaa kwenye kijiwe moja inayouza gas,hakika nilishuhudia zaidi ya wateja wanne kwa nyakati tofauti wakirudi na mitungi yao jioni hii baada ya kukuta bei ilivyo!

Walikuwa ni mchanganyiko kt ya watu wazima na hata watoto waliotumwa na nikajaribu kusema nao kujua maoni yao na ikawa hivi:

Namwuliza mtoto,Kwani bei imepanda sana? Si kidogo tu?
Majibu ya mtoto,Kwa kuwa una pesa siyo ama we nikati ya wanasisiem nini? Nipe basi pesa iliyopelea nichukue huu mtungi ndogo tu,maana unaongea utafikiri hauoni hii Nchi yetu inakoelekea.

Nikamwuliza tena huyo mtoto,Kwani pesa si Baba anatoa?

Mtoto,Baba hayupo nyumbani mpaka j'mosi ndiyo atarudi.

Duh! Nikachoka jamani.

My take,Nchi hii inayoongozwa na jk itatupeleka wapi Watanzania wake?
Inanitatiza sana mwenendo tuliyonayo!
 
jamani tumejaliwa kuwa na gas asilia kule songosongo haifai kwenye mitungi hadi iagizwe nje
 
Back
Top Bottom