Wanaume wa Tanzania ni legelege | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wa Tanzania ni legelege

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Smile, Mar 7, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wanawake wa tanzania huku tukiendelea na maadhimisho yetu
  tukumbuke kuwa tupo na wanaume legelege kabisa.kwa iyo maisha yetu na ukombozi wa maisha yetu yapo mikononi mwetu wenyewe.hawa wenzetu tulio nao hawana nguvu yeyote ni mgonjwa tu aliyewekewa dripu na oxygen
  hebu angalia-
  1-watu wanakosa huduma muhimu ya afya ,wanakufa bila hatia eti madaktari wamegoma -chanzo mwanaume wa kitanzania
  2-maisha magumu magumu-chanzo mwanaume wa kitanzania
  3-vitu feki nchini eti tbs wana hadi ofisi korea-chanzo?
  4-wizi epa radar -chanzo ?
  5-soka kila siku tunafungwa hata na timu ya somalia-hao ni wanaume wa....?
  6- endeleeni  yaani hamna siku wanatupa raha humu nchini hamna
  tuungane wamama tuokoe taifa letu[​IMG]
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe, ila sii wote. Wewe sema wanaume wote wa MAGAMBA ni legelege full stop. I trust that I am so hard since I am not one of them Smile. Hata akina mama wa wanaume legelege ni legelege tuuu otherwise msingekubali kurubuniwa na vikanga vyea elfu na jero na pilau kuwapa hao malegele kura zinazopelekea kutumaliza hivi hivi.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Happy Women's Day....Kesho!

  Tuitumie siku hii kutafakari masuala muhimu ambayo wanawake tunaweza kuyafanya kwa manufaa ya Taifa letu na Dunia,ambayo kwa miaka iliyopita tulitegemea wanaume wafanye. Hatuna sababu ya kutegemea wanaume kwenye kila kitu,ila kuna sababu ya kushirikiana nao katika yale tuyafanyayo kwa kuwa kwa namna moja au nyingine wao ni sehemu ya maisha yetu. Tujifunze kwenye mapungufu yao na tufanye mambo ya tofauti,iwe kisiasa,kiuchumi,kijamii etc. Tunaweza,Dunia Yetu,Chaguo Letu.....Tuchague kufanya kazi kwa bidii na kwa ubora wa hali ya juu!! :poa
   
 4. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mwanaume legelege amezaliwa na wazazi legelege (nachelea kusema mama legelege), kwa hiyo kama wazazi ni legelege tegemea watoto wa kike na kiume legelege katika maeneo yote: uongozi, maadili nk.
   
 5. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  vp mama unaongea kwa kutumia uzoefu wa mumeo nini?Just curious.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280


  Siku moja moja sio mbaya kuangalia issues differently....but you need us more than you thought
   
 7. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi wanaume wa Tanzania wakiwa legelege, wanaume wa Kenya tuwaiteje?
   
 8. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umetumwa,Mx
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Tatizo huyo mwanaume aliyewatia umasikini amemuoa Delila.

  Kwenye kila anguko la mwanaume, kuna mwanamke mbele yake. Believe me you.
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135


  natumai hujaamka na hangover, tafakuri kwa kina kisha urudi tena na ututake radhi!!!

  legelege ni ninyi mnaowapa watu uongozi simply ni handsome :A S 465:
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Funny in a sad way..
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  na nyie mngekuwa na akili msingewapeleka kwenye majukwaa na kuwaweka kwenye karatasi la kupigia kura
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kweli dada wanaumegani hawa wanatufanya tuishi kama tupojehanamu.
  Kila siku shida shida. Huduma ya afya tu inawashinda,ni nini sasa wanaweza kutuoffer kamaunatembea na roho yako mkononi?.kwanza nahama nchi mie
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hatuzai tena na nyie.ngoja nitafute mchina
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Lazima tuwe legelege maana Rais wa nchio naye ni LEGELEGE
   
 16. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Huyu mwenye ushungi/nicab sijui ni mwali au Ashadii??
  Anyway umesahau point moja muhimu hapo Bunge linaongozwa na mwanamke ambaye anatoa kauli ambazo unaweza kudhania ameshituka kutoka usingizini.
  Pia kumbuka mkipewa kofia na t-shirt za njano na khanga za kijani basi nyie roho kwatu kabisa.
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  A clever wife often sleeps with a stupid husband
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  If you want to make peace with your enemy, you have to work with your enemy hii sio hapa kwetu tusifanye nao kazi yeyoye tena hawa
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wapo wanawake tunaofanya wanaume waishi kama wapo jehanamu.....kwenye haya maisha, ni kuwa na boundaries ya kile unachoweza kupokea kutoka kwa binadamu mwenzio na kile usichoweza.....wanaume si Mungu,if he does not worth your time,stay away and keep pushing forward with your life....utegemezi ndo unatufanya wengi tuone maisha jehanamu kwa sababu ya wanaume....a stupid belief that we can't do without someone or men....we can....chagua kuheshimu mipaka uliyojiwekea,kujiamini na kukubali kubadilika pale inapobidi.....Usihame nchi, wana makasoro tofauti tofauti....chagua!
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Smile kama nitakukwaza utanisamehe dear.... Umekuja mkali mno. Maneno yako yana ukweli Lakini kua more blunt in other post apart from the original post ni rubbing it in - in a wrong way.

  Ni kweli as men wanatakwa wafanye kama ulivosema hapo juu..... Ila kumbuka kua tupo ulimwengu mpya kulinganisha na zamani. Wanawake na sisi tuna nafasi ambazo inabidi tucheze tena responsively kwa maendeleo ya Taifa. Na kumbuka pia kua wale ambao wamekua previledged kutuwakilisha sio woote wanacheza nafasi zao ipasavo. Take note unapowapa wanaume absolute blame katika tatizo ndivo unavo zidi kutu paint wanawake kama wajinga zaidi kwa kukubali kufanyiwa ***** huo...
   
Loading...