Matrekta saba yanunuliwa kwa Sh440 milioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matrekta saba yanunuliwa kwa Sh440 milioni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Mar 7, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  kweli kila kitu bongo ni dili hiyo pesa hapo mimi ningewaletea matrekta 20
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Watu hawataki kutumia akili kufikiria, haingii akilini tractor 7 Mil 440, that's a bullshit!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kuna matrekta ambayo moja tu linafika bei hiyo likikamilika na vifaa vyake vyote, cha ajabu nini? kuwa trekta moja millioni 63? mbona ni kawaida sana, si inategemea na trekta la ukubwa gani na vifaa vilivyoambatana na hilo trekta? naona hiyo bei poa sana. Kumbuka ni trekta hizo sio power tiller.

  Fananisha hiyo bei na Fuso used 2. kwi kwi kwi teh teh teh!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwanini haiingii akilini kwa trekta za kiingereza tena mpya. Naona bei ni poa sana. Hiyo around US$ 38,000 sasa hapo kuna ubaya gani?
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  ila hapa tungejua ni matrekta ya aina gani yaliyonunuliwa. so lets go our ways
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Huyo Dr Kone mbona kama kaongea pumba? Hayo matrekta ya hapa nchini si yametoka nje pia, sasa gharama za usafirishaji zitapunguaje? Au tuna kiwanda chetu cha matrekta siku hizi?
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Manyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, nimekugongea likes mkuu!! Sasa itakuwa nzuri ungetoa na details tuweze kujuzana zaidi.
   
 8. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mil 440 kwa trekta saba ni good deal
   
 9. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Inawezekana huyo doctor analalama amekosa dili la hayo matrekta,alitaka wamconsult ajipigie chapuo.
  This is Tanzania.
   
 10. p

  pstar01884 Senior Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Trekta za Suma Jkt moja linauzwa kwa bei ndogo sana Tsh. 16mil kwa hiyo huo mkopo yangepatikana jumla matrekta 27 sawa na Tsh. 432mil
  Suma Jkt wanauza trekta zao bila faida. Inawezekana kuwa sahihi kwa bei ya hayo ya Uingereza na inawezekana yamenunuliwa kwa profit margin kubwa. Suala hapa ni kwa nini hawa jamaa wanaimba wimbo wa Kilimo Kwanza kila uchao, huku wakijua Suma Jkt wamekabidhiwa tenda ya kusupply matrekta ya Kilimo Kwanza kwa bei ya chini afu wao wakimbilie hayo ya uingereza? Kama lengo ni kumsaidia mkulima kwa nini amebeshwe mzigo wa mkopo mkubwa hivyo kwa matrekta 7 badala ya 25 ambayo yangewasaidia wakulima wengi zaidi? Kuna harufu ya UFUJAJI wa jasho la wakulima hapa.
   
 11. C

  Chief JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Bure ghali wakai mwingine. Unaweza kulinganisha TATA na SCANIA? Sasa ununue TATA tu kwa sababu ni bei rahisi? Kitu muhimu tufahamu kwanza specification za trekta hizo na accessories zakek abla ya kuanza kusema ni bei ghali.
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Amini usiamini hizo gharama zinejumuisha watu waliokwenda Uingereza kukagua na kujumlisha na 10 % !. Zile trecta za Suma JKT hazina deal ya 10%!.

  Hizo za Suma nazijua na sio tuu kusikia sifa zake, bali pia kuziona in action ni trecta za ukweli na zinapiga mzigo wa kufa mtu!. Kitu kimoja ambacho sijaweza kukithibitisha ni life span yake, wanadai zina dumu for more than 25 years! tatizo I can't verify that kwa naked eyes!.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Gharama zinapunguwa kwa kuwa zinafunguliwa na kujazwa kwenye kontena moja au mawili na zinakuja kuungwa zikifika hapa.
   
 14. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Ingesaidia zaidi mleta mada ueleze ukubwa wa matrekta hayo. Mezani kwangu sasa hivi nina "pro forma invoice" ya trekta aina ya New Holland Horse Power (HP) 80 toka kampuni ya Incar Tanzania Ltd (iko Nyerere Road ukipita TAZARA kama unakwenda Airport), linauzwa sh. 72m. Nikinunua 7 nitalipa sh. Mill. 504!
   
 15. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Inategemea.
   
 16. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Ingesaidia zaidi mleta mada ueleze aina na ukubwa wa matrekta hayo. Mezani kwangu sasa hivi nina "pro forma invoice" ya trekta aina ya New Holland Horse Power (HP) 80 toka kampuni ya Incar Tanzania Ltd (iko Nyerere Road ukipita TAZARA kama unakwenda Airport), linauzwa sh. 72m. Nikinunua 7 nitalipa sh. Mill. 504!
   
Loading...