FFU wamwagwa Arusha kulikono??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FFU wamwagwa Arusha kulikono???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by madrid, Mar 8, 2012.

 1. m

  madrid Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza swali makamanda wenzangu.

  Arusha hivi tunavyoongea kuna FFU wa kumwaga kutoka huko walikotoka,sasa swali linakuja hapa,ni upendo wa serikali kutuongezea ulinzi cause labda kuna tetesi za kutokea kwa fujo mahali fulani au labda ni maandalizi ya tuliyoyazoea????

  wamepiga kambi oljoro na njiro na kila siku wanafanya mazoezi.
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kampeni zinaanza kesho! Ma******i yameshabana Ch*****p hiyo yoote ni kwaajili ya People's Power!
   
Loading...