Nadhani hii ndiyo itatatua suala la mgomo huu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nadhani hii ndiyo itatatua suala la mgomo huu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyetk, Mar 8, 2012.

 1. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Madaktari ndo hao wanagoma goma tu, mkulu anacheka cheka tu, mtoto wa mkulima analia lia tu! Watanzania mnategemea nani atoe maamuzi magumu kabla watu hatujaanza kufa kufa?
  Ni fursa kwa Bi Kiroboto kuonyesha kwamba wanawake wakiwezeshwa wanaweza! Ebu aiite haraka timu yake mjengoni waiamuru serikali haraka cha kufanya bila kuunda tume! Wadau kama mnaafiki hili basi mwenye namba ya bi Kiroboto naiomba!

  GOMA GOMA TU + CHEKA CHEKA TU + LIA LIA TU = KUFA KUFA TU!
   
 2. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  namba ya pinda 0754 301 630 na ya Anna makinda 0754 46 52 26
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hoyo goma yako duu nilizani goma lakupigwa!
   
 4. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Thanx Salas.
   
Loading...