The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,542 Mar 8, 2012 #1 hebu imefika wakati wanawake tujiwezeshe wenyewe tusisubiri kuwezeshwa
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Mar 8, 2012 #2 Mbona mmeweza au hamjiamini, Haya tazama hawa, Anna Makinda, Blandina Nyoni, Mwanaasha Jakaya Kikwete..... na wengine wengi endeleza list hii....
Mbona mmeweza au hamjiamini, Haya tazama hawa, Anna Makinda, Blandina Nyoni, Mwanaasha Jakaya Kikwete..... na wengine wengi endeleza list hii....