Serikali acheni midhaa na maisha ya watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali acheni midhaa na maisha ya watu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Voice of Voices, Mar 8, 2012.

 1. Voice of Voices

  Voice of Voices Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali kupitia Waziri wetu mkuu Bwana Mizengo Pinda inasema imejipanga vyema kuhudumia jamii katika mgomo wa madaktari,hivi mwanzoni mbona watu walipoteza maisha ina maana mlikuwa hamja jipanga au?

  Pia hii kauli ya kusema " wao kama watanzania kwa taaluma na miiko yao sitegemei kuwaona wanagoma wakati maisha ya watu yanapotea" hivi kama serikali mnasema hivyo nami najinukuu, "nyinyi kama serikali sitegemei kuona watu wanapoteza maisha wakati mpo na hamtatui matatizo ya MADAKTARI ili wawahudumie wananchi"

  Upanga unakata huku na huku, madaktari na wauguzi pia mnajidharirisha, kama mmeamua kugoma basi msioneshe nyuso zenu sehemu zenu za kazi manawatesa wananchi, kilichotokea Hosptali ya temeke sio kitu kizuri,mnachukua hela za watu kisha hamwahudumii?
   
 2. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hamjaelewa tatizo si serikali tatizo lipo linalotaka kuifanya serikali iwe tatizo.
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Welcome to tanzania.
  -no elecricity
  -no fuel
  -no water
  -no treatment
  -no government
   
 4. S

  Shansila Senior Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajipange wasijipange,wanaokufa ni watza wasiokuwa na uwezo wa kwenda kutibiwa ng'ambo!Kama wamejipanga,kwann walikuwa wanawasihi madokta wasigome?Wana bahati hii ni nchi ya Kichaa chini ya mfalme ****!Nchi ambamo hata takwimu za waliokufa kutokana na athari za mgomo hazikuwekwa wazi nahakuna aliyeziulizia!Waliofiwa wakazika wafu wao na kuamini kuwa BWANA ALITOA,BWANA AMETWAA.
   
Loading...