Dr Lucy Nkya; tuzawadie wanawake kwenye siku yetu

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Kwa siku ya leo ya Wanawake duniani,kama kuna kitu masikio ya wanawake
wa Tanzania tungetamani kukisikia ni kuwa Dr. Lucy Nkya amejiuzuru u-naibu
waziri,ili kuokoa maisha ya wanawake wenzio na watoto wanaokufa bila hatia.Ebu we mama
onyesha moyo wa kike,wanawake siku zote ni watu wa huruma.Maisha ya watanzania
ni ya thamani kuliko uwaziri mnaong'ang'ania.Hata wanaume wanaoumwa kumbuka
wanaopata shida ya kuuguza ni wanawake.Machozi na damu ya watanzania iko juu yako.
 
Hiyo itakuwa zawadi njema sana si kwa wanawake tu hata sisi wanaume maana watoto na wanawake wakiugua wanaopata shida ni wanaume!
 
Back
Top Bottom