Haya sasa, nchi ya migomo, mambo hayaendi kabisa!!

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
TAZARA wamtaka Waziri wa Uchumi ajiuzulu

  • Walimu nao waipa serikari siku 14

WAFANYAKAZI wa Shirikala la reli Tanzania(TAZARA) wamemtaka Waziri wa Uchukuzi Bw, Omari Nundu ajiuzulu kutokana na kushindwa kusimamia madai yao ya mwezi januari na februari.

Akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi wenzake mmoja wa Wanyakazi wa Shirika hilo ambaye hakutaka jina lake kutajwa alisema kuwa,takwimu zinaonyesha shirika hilo linaingiza zaidi bilioni tatu kwa mwezi.

Alisema kutokana na kutokuwa na usimamizi mzuri wa pesa hizo kumepelekea wafanyakazi wa shirika hilo kutolipwa madai yao kwa muda muafaka.

Aliongeza kuwa Viongozi hao wakijiuzulu kuatasidia kwa kiasi kikubwa Shirika hilo kuafanya kazi kwa uafanisi pamoja na kuondoa migogoro inayojitokeza katika shirika hilo.

``Takwimu zinaonyesha shirika linaingiza biloni tatu kwa mwezi,na sisi tunadai bilioni 1.1 za mshahara kwa wafanyakazi kwa nini tusilipwe pesa zetu kwa wa wakati muafaka kwasababu wengine tunategemewa na familia zetu ili kuendesha maisha yetu``alisema na kuongeza.

Hata hivyo aliongeza kuwa Viongozi wa Serikali wamekuwa na tabia za kupeleka taarifa za uwongo Wizarani kwakusema Shirika hilo halina matatizo yoyote.

``Kumemekuwa,, na tabia ya baadhi ya Viongozi kusema uwongo kwenye Shirika letu hakuna matatizo yoyote,lakini ukinaglia kwa namna au nyingine ndani ya shirika letu kuna matatizo mengi.

Alisema kuwa, hatua ya mwisho waliyoifikia ni Waziri wa Uchukuzi Bw Omari Nundu ajiuzulu kutokana na kushindwa kusimamia madai yao.

Katika hatua nyingine alisema kuwa wamekuwa wakikatwa asilimia kumi ya mishahara yao kwenda NSSF lakini chakushangaza makato hayo hayafiki NSSF.

hata hivyo alisema kuwa, mishahara yao isikatwebali wapewe fursa ya kujiunga ma mifuko mingine.

Akizungumza kwa naiaba ya wasafiri wenzake Bi Anitha Sanga alisema kuwa, mgomo umesababishia hasara nyingi ikiwemo kukwama kwenye shughuli zao walizotarajia kuzifanya.

Source: Majira
 
Source:Majira
upepo tu itaisha watu watakapotimiza malengo yao.
 
MSTAKABALI WA TAIFA LETU UKO MIKONONI MWETU NI SULA LA KUCHAGUA KUENDELEA NA HALI HII AU MABADILIKO. Tukiamua tunaweza
 
Walimu nao uwoga siku 14 za nini ungeni tela nanyi kitaeleweka tuu!
Na wafanyakazi vip ugumu wa maisha ni issue tosha ya kuandamana!
 
amani ya nchi yetu dalili zinaonyesha kupotea,na wananchi wamepoteza imani kwa serikali yao,tutakwdnda wapi sisi maskini
 
Safari moja huanzisha nyingine....biliv or not mwishoni watanzania wote hasa majobless wataungana kumtaka RAIS JAKAYA HALFAN MRISHO KIKWETE ajiuzuru
 
Ni vizuri kila sekta ya uchumi ikanyanyuka na kuonyesha grievances zao kwa mis-management. viongozi wa kisiasa wawajibike kwa mismanagement zote za taasis za umma. Bravo working class!
 
Mi sishangai ndugu The whole world is shaking,cha muhimu jitazame wewe umuhimu wako na muelekeo wa maisha yako au familia yako,LIBYA,EGYPT,IRAQ,wanavuna walichokipanda wako wapi leo,chaos tupu,haya yote mikono ya watu wanojifanya wasafi imehusika kuwatumia watu nchi hizo kupindua serikali zao wenyewe kwa njia ya maandamano na migomo,saa hivi hawaji wao,watawatumia ninyi wenyewe kupindua serikali zenu wenyewe,then watajenga mahema pembeni wakisema they are peace keepers.tafakari chukua hatua......
 
Mambo gani hayaendi? Mbona sisi wengine tupo kazini tunapiga mzigo bila bugudha?
 
Upo wapi? BOT??

Hahaha very funny! kuajiriwa?

Mkisikia kazi watanzania mawazo yenu yanaenda kwenye kazi za kuajiriwa, kwanini niajiriwe na mtu mwengine wakati uwezo ninao wa kujiajiri mwenyewe wa kubangaiza? mtabakia hivyo hivyo ndio maana mna support migomo.

Laiti na madaktari wenu wangekuwa wana hizo akili wakajikusanya watano watano wanaanzisha vi dispensary tusingekuwa na haya matatizo ya migomo. Tatizo wamewekeza sana akili zao kwenye ajira ya umma kwakuwa ndio nafasi yao ya kuiba mashuka, vyandarua na dawa zetu. Wangetoka kimya kimya kidogo kidogo kwenye ajira ya serikali wakajiajiri kwani tungewavuta kwa nguvu na kamba!???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom