Mama yangu alimdhamini mkopo mkwilima bila ya sisi watoto kushirikishwa, kilichotokea... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama yangu alimdhamini mkopo mkwilima bila ya sisi watoto kushirikishwa, kilichotokea...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uncle Kaso, Mar 8, 2012.

 1. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Nilipokuwa bado nasoma kidato cha pili mwka 2009, nliomba uhamisho nje ya mkoa ili kuendelea na masomo! Nliacha dada zngu weng walioolewa lkn c mbal sana n homestead n mm ndo lastborn n ni mtoto wa kiume pekee ktk tumbo la mama!

  Kuna sister ameolewa n mumewe alikuwa n mfanyabiashara ndogondogo za kutembeza vyombo street! Aliamua kuchukua mkopo kw shrka moja la SEDA kiac cha shln laki tano na alimshrikisha mama yetu na wakaweka dhamana ng'ombe wa kulima watatu bila ya sisi watoto kujua! Baada ya hapo jamaa alshndwa kurejesha n kukimbilia Dar!

  Ng'ombe waliuzwa ili kuulipa ule mkopo n ndipo tulipokuja kujua! Tulijarbu kumuuliza mama juu ya suala hli lkn alijiumauma sana! Na wle ng'ombe ndo tulkuwa tulikuwa tunawategemea hasa mm mwnfnz kwn nlikuwa nawatumia kulima vibarua ili kukidh mahtaji y shule na hakuna wengne sasa! Aliporudi jamaa mwka jana,alikuwa mgonjwa taaban na pakufikia alikuwa hana na hata uelekeo wa kutulipa hana! Mama hvi sasa ni mzee na nimefaulu kwnda A-level na cna pa kushka! Nilipo hvi sasa si kw ndugu bal n kw rfk tu na ni m2 mzima! Jaman wanaJF,what would i do to proceed wth ma studies?

  NB;nyumban ni bukene(tbr) n kw sasa nipo shinyanga nlikohtmu kdto cha nne mwaka jana!
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  pole sana kijana ndio ukubwa labda na maswali kidogo kwako
  umefaulu kwa kiwango gani?
  Selection umepata ? Nani mkoa gani ?
  Naomba nipate maelezo kidgoo kutoka kwa kuhusu hayo
   
Loading...