Toka nimekaa dar-es-salaam mwaka wa 12 sijawahii ona mvua kubwa ya namna hii.
Ni mvua ambayo, imeambatana na upepo mzito na radi za hapa na pale.
MUNGU WAKUMBUKE WATU WA MABONDENI YASIJE WAKUTA...
Mheshima Malima, rai yako kuwa silaha ni mtaji tumeipokea kwa mikono miwili. Hii ni kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira. Pamoja na kuwa umesema jambo jema kwa ajili ya ukombozi kutoka adui...
Hii ilikuwa ni kauli ya mh.Mbowe katika uzinduzi wa kampeni za chama chake pale leganga.
pia alisema wabunge wa CCM ni weupe ie hawana kitu upstair.
My take:Mbowe ni kiongozi mkuu wa kitaifa...
Nimeangalia clip ya video iliyokuwa posted, kuanzia dakika 2:30, inayohusiana na kuvunjwa kwa Hoteli aliyolala Mheshimiwa na inaonyesha dhahiri ya kuwa mtu aliyevunja hiyo Hoteli alivunja akitokea...
Hatimaye mwili wa mtu mmoja kati ya watu saba wanaohofiwa kufa katika moja ya mashapo (mashimo) yaliyopo katika mgodi wa dhahabu wa Geita baada ya kuingia kwa lengo la kuiba mawe yenye madini ya...
WANAWAKE WAFURIKA KUPATA HUDUMABIASHARA huria imezua mengi. Hali kadhalika Sayansi na Tekenolojia nayo, imeleta mengi. Katika kuwaondolea kero wanawake wenye matiti yaliyosinyaa hapa nchini...
Ndugu zangu wana JF, leo nina dukuduku kubwa kuhusiana na huduma zinazotolewa na benki yetu ya makabwela NMB hapa tanzania, hasa katika kipindi hiki cha karne ya 21, dukuduku langu ni kama...
Katika hali isiyotarajiwa wengi, inadaiwa kuwa uzinduzi wa kampaini wa CCM umelenga kuvutia pumzi na makakati wa kuwasoma wapinzania wao wa kisiasa CDM.Hayo yamezihirishwa na kubadilikabadilika...
As-salaam alykum wanajf,
habari nilizopata kutoka kwa mtu mmoja jina lake kwenye kikapu ni kwamba Kikwete anatarajiwa kumtangaza Prof.MAJIMAREFU mbunge wa tanga kuwa mrithi wa Dr.Mponda. Ebu...
Nimegundua humu jamaa wengi wakiona habari ya fcbk wanachungulia sana kunani?sasa kwanini mtu akisema fcbk jamaa mnaponda na kuona kama ukiwa JF ndio unakuwa mjanja sana au vp?acheni hizo najua...
JumapiliI iliyopita, baadhi ya mashabiki waliokosa ustaarabu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam walichomoa viti 152 na kuvunja 11 kati ya hivyo katika kile kilichodhaniwa kuwa ni matokeo...
Hivi karibuni kumekuwa na tishio la mgomo mwingine wa madaktari wakishinikiza kuanza mgomo mwingine, Mgomo wa kwanza ulisababisha vifo vingi tu vya ndugu zetu watanzania wenzetu waliokatwa kodi...
Natumaini hamjambo wote. Kwa wale wanautumia mafuta ya taa, aidha kwa kuwasha taa au kwa kupikia (jiko), ningependa kujua wanatumia shilingi ngapi kwa mwezi kwa manunuzi ya mafuta hayo...
Kuna taarifa zimezagaa kuwa mwanaharakati wetu mzee Mtikila baada ya kukaa kimya mda mrefu amesema ataungana na wanaharakati wengine kumfungulia kesi ya uzembe na kuchezea mali za serikari mh...
JAMANI LEO TULIANGALIE ILI SWALA LA SUMATRA WAO KUTOA VYETI VYA UBAHARIA AU KWA KIFUPI MARITIME YOTE KWA UJUMLA WANAOFUNDISHA NI DMI CHETI,MTIHANI DMI VP VYETI WATOE WAO? MBONA DL HAWATOI WAO...
Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje...
Kila kunapokucha tunashuhudia mpasuko mkubwa wa maadili kwa watoto na vijana wetu, pamoja na baadhi ya watoto kuwa na akili za kuzaliwa, watoto wengi wameharibikiwa na akili. Wengi ukiwaona...