Ahaaa kumbe ni wengi Facebook!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahaaa kumbe ni wengi Facebook!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngongoseke, Mar 11, 2012.

 1. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimegundua humu jamaa wengi wakiona habari ya fcbk wanachungulia sana kunani?sasa kwanini mtu akisema fcbk jamaa mnaponda na kuona kama ukiwa JF ndio unakuwa mjanja sana au vp?acheni hizo najua karibu wote humu tunatumia JF tuki log our lazima tunachungulia Fcbk,hata mimi m1 wao!
   
Loading...