Sumatra vs dmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumatra vs dmi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgadafi, Mar 11, 2012.

 1. m

  mgadafi Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JAMANI LEO TULIANGALIE ILI SWALA LA SUMATRA WAO KUTOA VYETI VYA UBAHARIA AU KWA KIFUPI MARITIME YOTE KWA UJUMLA WANAOFUNDISHA NI DMI CHETI,MTIHANI DMI VP VYETI WATOE WAO? MBONA DL HAWATOI WAO? Nyingine kali kila bada ya mika4 unakwenda kurenew vyeti vyako tena kwa wiki 4 mi naona jukum lote linalohusu maritime waachiwe dmi,sumatra wadili na nchi kavu kwani hata wataalam wapo dmi inapotokea tatizo sumatra wanaomba wataalam kutoka dmi ili ni wazo langu tu
   
Loading...