(Chadema) kuanza kuchangisha fedha kwa ajili ya kuikomboa Tanzania

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kinahitaji mchango wako wa hali na mali.Toa mchango wako kupitia tigo pesa 0655783333 na m-pesa 0763744334
 
mwanzo mzuri mi nshatumbukiza vijisent vyangu kwa ajili ya ukomboz wa taifa kupitia arumeru
 
Nitachangia... Tanzania itakombolewa na mtanzania mzalendo....changia chadema kwa maendeleo ya vizazi vijavyo.!!!
 
Nitachangia sehemu ya--ya pato langu kwa ajili ya kuikomboa nchi yangu kwa ajili ya watu wa nchi yangu wanao sulubiwa bila kosa kwa kutokujua thamani ya utu wao waliopofushwa makusudi ili rasilimali yao waliyopewa na mwenyezi MUNGU iweze kuporwa na kuwaacha wakiwa masikini na watupu huku wakibembelezwa kwa wimbo laini wa AMANI,ndio naamini uwepo wa MUNGU kwenye harakati hizi! Amini nawaambia sauti hii hafifu iliayo nyikani itafunika milio ya mabomu ya machozi na risasi za moto itaponya majeraha ya virungu vya askari wa farao ccm,na hatimaye tutaifikia nchi ya ahadi tukiwa na tabasamu litokalo moyoni,na siku zetu zikiisha hakika tutapumzika kwa amani huku tukiacha mustakabali angavu kwa Tanzania ya vizazi vyetu vijavyo.chukua hatua,changia ukombozi sasa. Hakika hutapungukiwa!!MUNGU atubariki sana.
 
sitaki ujinga HIZO HELA ZITATUMIKAJE KUIKOMBOA TANZANIA?NA ALIYETOA OMBI HILI NI KIONGOZI YUPI WA CHADEMA NA ALILITOA LINI NA WAPI? Kuuliza si ujinga
 
sitaki ujinga HIZO HELA ZITATUMIKAJE KUIKOMBOA TANZANIA?NA ALIYETOA OMBI HILI NI KIONGOZI YUPI WA CHADEMA NA ALILITOA LINI NA WAPI? Kuuliza si ujinga[/QUmwenyekiti wa chadema+taifa+mh mbowe katika jimbo+la arumeru. Umenipataaa.
 
Back
Top Bottom