Migogoro na migomo mingi huwa inasababishwa na kulea matatizo. Laiti matatizo yangekuwa yana tatuliwa maramoja yanapotokea migogoro ingepungua sana. Kuna taasisi moja katika wizara ambayo hivi...
Wana jf...mimi ni mteja wa nbc, akaunti yangu niliifungua kwaajili ya boom nikiwa chuoni. Ni kama miezi mitano cjai2mia, leo kunam2 kaniingizia hela na akaunti haikuwa nahela b4. Nilipoenda...
Hivi ni ubinafsi au ndo kutokujua? Nashindwa kuelewa humu ndani kuna matatizo gani, kwani majukwaa yanayokuwa na wachangiaji wakutosha ni la siasa, la mahusiano,urafiki na mapenzi na lile la...
WanaJF nimesikiliza kipindi cha gumzo asubuhi kuna mtangazaji anajiita Meshack nzowa anatamka maneno makali ya kuwashambulia madaktari na wanaharakati hadi inakera sana. Anasema katika hotuba ya...
Jana kwenye hotuba ya JK alisema, madaktari walienda kwa maaskofu kabla ya kupelekwa na maaskofu hao hao kwenye mazungumzo na Pinda usiku wa manane. Nataka kujua tu nini ilikuwa role ya maaskofu...
Utata umelikumba Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kufuatia dawa za kulevya zenye thamani ya mamilioni ya fedha zilizokamatwa mpaka wa Kasumulu wa Tanzania na Malawi kupungua uzito katika mazingira...
Katika hali ya kuhuzunisha maana siwezi sema ni ya kuchekesha kwa sababu ni hatari kwa taifa na watu wake pale tunapokuwa na mkanganyo wa kusimamia haki na kweli ktk Taifa letu.Huu udhaifu...
Wapendwa mimi bado ninabumbuwazi na hili kanisa la kurudisha misukule. kwanza walipoanzisha hiyo program yao ya kuita wanasiasa wakawaita kambi ya Sitta na mwakiembe. Sera zilizopelekwa hapo ni...
Safari ya kujenga umoja katika vyama vya siasa sasa inaelekea kushika njia kwa kuonyesha ushirikiano katika masuala yenye kuleta manufaa kitaifa na kuweka kando tofauti za kiitikadi.
Katibu Mkuu...
Hii sayansi na teknologia sasa inatupeleka pabaya. Hivi karibuni wataalam toka china wameleta mashine maalumu ya kunyanyua matiti (yawe na muonekano wa saa 6) ambayo itawasaidia kina dada/mama...
Kuna watu wengi ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na taasisi za umma ambao hawana sifa stahiki katika ajira walizonazo kwa kuwa walitengeneza vyeti feki ili kujipatia ajira hizo.Ushauri...
haya maisha ya wananchi na ya watu wa serikalini mbona hayana uwianoooooo, wabunge wa ccm kusinzia tuuu na bado wanataka kiti cha Arumeru, jamani watanzania tuwe macho ccm inatupeleka wapiii,mbona...
Hii kauli ameitoa Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh. Kigoma Malima wakati akitoa tathmini ya vitu alivyoibiwa ambavyo ilikuwa ni fedha taslimu dola 4000 na Tsh 1.5m, akisema kwake yeye ilikuwa...
Kwa jinsi ninavyojua, kuzungumza na wananchi ni hali ya kila upande kuongea na kupeana mawazo. katika hili, Jk amekuwa akisema anaongea na wazee na wakat ukiangalia na kusikiliza unaona kuwa ni...
Habari; pamoja na juhudi mbalimbali za kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira hususani upandaji wa miti, bado tutaendelea kuwa waharibifu wakubwa wa mazingira kwani wananchi wengi hasa wa...
wana JF
Kwa yeyote mwenye habari juu ya maendeleo ya afya ya Mh Lowasa atujuze.
kuhusu Mh Mwakyembe na Mh Mwandosya tunasikia wanaendelea vyema,je vipi Mh Lowasa anaendeleaje
maana ni vyema...
vyuo vikuu vinavyotumia notice board kutoa matokeo ya mitihani ni pamoja na Tumaini- Kurasini. Hata leo yako ubaoni hapo. Kwa jinsi wasivyojua kutumia kompyuta hata matokeo yenyewe yamechanganywa...
Zaidi ya miezi 3 mji wa Moshi umegubikwa na uhaba mkubwa wa maji kila kona wamama wanazunguka na ndoo wakitafuta maji mchana kutwa hali ambayo haijawahi kutokea mjini hapa, habari zilizonifikia...
Ndugu zangu,
Mimi bado najiuliza hivi Malima alikuwa anamaanisha nini aliposema kwamba silaha mbili zilizokoswakoswa kuibwa ni mtaji mkubwa wa maisha. Binafsi kwa kiongoozi mkubwa kama yeye...
Habari wana nzengo.... jana nilikata tiketi basi linaitwa COAST LINE kutokea Arusha kwenda Mwanza, nimeamka saa11 na saa11.30 nilikua tayari stand nilivyofika stand konda nikamwonyesha tiketi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.