Uzinduzi wa kampaini ccm walenga kupima speed ya cdm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa kampaini ccm walenga kupima speed ya cdm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGENDA NGOLOMA, Mar 11, 2012.

 1. N

  NGENDA NGOLOMA Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyotarajiwa wengi, inadaiwa kuwa uzinduzi wa kampaini wa CCM umelenga kuvutia pumzi na makakati wa kuwasoma wapinzania wao wa kisiasa CDM.Hayo yamezihirishwa na kubadilikabadilika kwa ratiba ya Uzinduzi wa Kampaini wa CCM ambao ulitarajiwa kuanza tarehe 9 kabla ya kubadilishwa na kuwa jumatatu ya tarehe 12 machi.
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mpime msipime; bila wizi wa kura hamikamati CDM
   
 3. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  itawachukua muda kuijua CDM!
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
   
 5. Baba Imani

  Baba Imani Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Mpime speed, mgombea mnae? Acheni longolongo. Huyoooo mkenya ameamua anaoa!
   
Loading...