Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 30 wa CCM

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Hii ilikuwa ni kauli ya mh.Mbowe katika uzinduzi wa kampeni za chama chake pale leganga.

pia alisema wabunge wa CCM ni weupe ie hawana kitu upstair.

My take:Mbowe ni kiongozi mkuu wa kitaifa mwenye heshima lakini ametumia nafasi ya kulihutubia taifa kutoa matusi,dhidi ya wabunge wenzake.

Nategemea wabunge wa CCM aka magamba wajibu hizi kauli kesho,hasa wabunge wa mkoa wa arusha na mwigulu nchemba madelu.
 
Hivi wabunge wa Chadema kama Leticia Nyerere, Rose Kamili, na yule mtoto wa Mashishanga hivi michango yao bungeni ni ya ujenzi?
 
Kwahiyo tuseme wabunge wa CDM 48 * 30 = magamba 1440! Kweli magamba wamefunikwa mazee! Arumeru mkituongezea mbunge wa 49 ni sawa na wabunge 1470 wa ccm!
 
kama amesema kweli, si kua amewadharau wabunge wa ccm amewadharau hata alokua anawahutubia.kwamba ni watu wasiopambanua mambo
 
maneno haya yalistahili kutamkwa na mwenyekiti wa chama ngazi ya taifa?
ni swali la ufahamu tu wakuu.
 
kama amesema kweli, si kua amewadharau wabunge wa ccm amewadharau hata alokua anawahutubia.kwamba ni watu wasiopambanua mambo

Siyo kwamba amewadharau, bali kawaeleza ukweli wananchi kuwa wabunge wa ccm pamoja na uwingi wao hakuna kitu wanafanya zaidi ya kupokea posho na kukamua na machangudoa. John Mnyika au Godbless Lema ni sawa na magamba 100.
 
kama amesema kweli, si kua amewadharau wabunge wa ccm amewadharau hata alokua anawahutubia.kwamba ni watu wasiopambanua mambo

je,hiyo kitu ni sawa kwa mtu kama yeye?mbona zito aliongea nondo chache lakini za ukweli zisizo na matusi?
 
Maga.mba hawana lolote vitambi ambavyo vimetokana na kodi zetu zimewazidi na inawapelekea kusinzia bungeni na kusapoti vitu ambavyo havina faida kwa watz au walalahoi ndan ya tz
 
Hivi wabunge wa Chadema kama Leticia Nyerere, Rose Kamili, na yule mtoto wa Mashishanga hivi michango yao bungeni ni ya ujenzi?
Mkuu wakati mwingine hakuna haja ya kujibizana na hawa jamaa wa cdm hasa pale wanapoleta ***** wao hapa jamvini
 
Hii ilikuwa ni kauli ya mh.Mbowe katika uzinduzi wa kampeni za chama chake pale leganga.

pia alisema wabunge wa CCM ni weupe ie hawana kitu upstair.

My take:Mbowe ni kiongozi mkuu wa kitaifa mwenye heshima lakini ametumia nafasi ya kulihutubia taifa kutoa matusi,dhidi ya wabunge wenzake.

Nategemea wabunge wa CCM aka magamba wajibu hizi kauli kesho,hasa wabunge wa mkoa wa arusha na mwigulu nchemba madelu.

Mbowe mbona ndiyo hoja yake iliyobaki. Hivi unataka kuniambia Sugu,Wenje,na wengine kama hao nao Mbowe anawaita Wabunge kweli.
 
Back
Top Bottom