Najiaandaa kuwashtaki madakitari kwenye mahakama za kimatafa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najiaandaa kuwashtaki madakitari kwenye mahakama za kimatafa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Madikizela, Mar 6, 2012.

 1. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hivi karibuni kumekuwa na tishio la mgomo mwingine wa madaktari wakishinikiza kuanza mgomo mwingine, Mgomo wa kwanza ulisababisha vifo vingi tu vya ndugu zetu watanzania wenzetu waliokatwa kodi zao ili madaktari hao wasome kwa furaha. kitendo wanachofanya madaktari hawa ni cha kinyama, cha kiuaji na uhaini wa hali juu. Endapo madaktari hawa watatimiza azma yao hii nawaomba JF wenzangu wenye nia njema na nchi kuandaa mashtaka dhidi ya madaktari hawa na wote wengine wanaosababisha haya katika mahakama za kimataifa.

  Wanasahau kuwa kodi zetu ndizo zilizowasomesha na hao stakeholders wengine wanasahau kuwa kodi zetu ndizo zinawapeleka wao India kutibiwa.
  :embarassed2:

  TUMECHOKA!!!!!
  [/PHP]
   
 2. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kodi zangu miye zinafanya nini?au miye sikatwi kodi??tunakatwa almost laki 3 kwa mwezi so usiseme kodi yako ndo imenisomesha...kwanini usiishitaki serikali yako inayotoa ahadi za uongo?
   
 3. P

  Pelege Senior Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kenge wewe masaburi mkubwa badala uishtaki serikali yako ambayo kila kukicha inafanya ufisadi,na wakati hospital hakuna vifaa,madawa hakuna,mishahara midogo kwa madaktari na wauguzi wakati wao serikali wakiendelea kutafuna maisha kwa kuiba kodi za wananchi.serikali yako legelege ya CCM siku zao zinahesabika.
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Upepo haupimwi kwa style hii!!!!Utaambulia matusi!!!!
   
 5. m

  mimimimi Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3


  Naona CCM wamepiga mahesabu kuwa watakaokufa kutokana na mgomo wa madaktari thamani yao ni ndogo kuliko hao viazi Nkya na Mponda.
  Wanasahau dhamana ya kuongoza ni hiyo waliyopewa na wanao waua, wanasahau hata Misri maandamano yalikuwa hayaruhusiwi kwenye katiba lakini ndio yaliyo wandoa madarakani.

  ALUTA CONTINUA
   
 6. m

  moshingi JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kodi kwenye mshahara laki3?? Maana yake mshahara wako unanafuu kidogo maana yake siyo chini ya 2.0 Mil.
  kwa mwezi, Hali yako hujambo, mwenzio na ka-digrii kangu kamoja napata hiyo laki-3.
  Madaktari wakigoma tena, ndugu zetu pamoja na wajumbe wengine humu watakufa bila matibabu, huu ni Unyama
  mkubwa ambao serikali na madaktari watakuwa wameufanya...ni Kweli wanstahili kufikishwa The Hegue, Viongozi wa ma-dr, waziri Mponda&Nkya, LAZIMA WAFIKISHWE HUKO KWA MATENDO YAO AMBAYO NI KINYUME NA HAKI KUU
  YA BINADAMU YA KUISHI.
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  UWT at work!!
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Na wewe ulitakiwa uende ukaPASUE VYURA Lab ila ukaona usome Abushiri na ukienda shule msaafi!!!!!

  Wenzio wanapasua sana Usaha na kutoa funza kwa wingi. Kusafisha vidonda na kufiwa na watu ni kawaida.

  Mwisho kumbuka kuwa, hao watu dunia nzima wanatafutwa. Usipowajali, wataenda Botswana.

  Wewe ni kama mimi tu, tubaki na hizi degree zetu za HGL sijui? Tunavuna tulichopanda kukimbia Sayansi.
   
 9. S

  Silent Burner Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono. Hawa ma-dr wauaji wa watu wasio na hatia budi wawajibishwe kwa matendo yao.

  Waliua ktk mgomo wa mwanzo, hawakuridhika. Sasa wanadai tujikamue kila kitu ili tuwalipe mishahara ya mamilioni.

  Kama itashindikana kuwafungulia mashtaka basi, tutaangalia namna ya kuwashughulikia humu humu mitaani. IMETOSHA KUUA WATU WASIO NA HATIA KWA AJILI YA ULAFI WA FEDHA.
   
 10. t

  tracy wa NJIRO Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huja exoust local remedies wewe madaktari wana haki toa hii post utatukanwa
   
 11. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,232
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  hivi kuwafukuza mponda na mama nkya gharama yake ni milioni ngapi mkulu?
   
 12. S

  Silent Burner Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini kumshinikiza Rais kuwafukuza kazi wateule wake?

  Hamuoni mnaingiza siasa kwenye taaluma na pia mnavunja katiba ya nchi?

  Ma Dr wamejaa kiburi, ubinafsi, tamaa ya kujaza matumbo yao kwa gharama yeyote hata kama itabidi watu mamia kufa.

  Tunawashangaa, haijawahi kutokea mahali pengine. Bora msivae hayo majoho yenu mitaani, tunaweza kushindwa kujizuia kuwapopoa mawe.
   
 13. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,232
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  Mimi seriously hizi post zinanikera sana, watu humu ndani wanaongea tuu simply because they have jf account, but hawana wanalojua juu ya huu mgomo;hawajui imekuwaje hadi madokta wamefikia hapo?nini kilisababisha ule mgomo wa kwanza?nini kilisababisha madokta warudi kazini baada ya ule mgomo?nini kimesababisha madokta waitishe mgomo mwingine tena hapo j5?whay could have been done to prevent another strike after the first one?what was not done that caused the doctors kurudi kwenye mgomo?serikali ilijifunza nini kutokana na ule mgomo wa kwanza na ilifanya nini kuhakikisja kuwa hali ile haijirudii tena?tusipende majibu marahisi jamani............ Tusiwe wepesi kulaumu tulipoangukia badala ya kuangalia chanzo!!
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kama ulikatwa kodi ili 'wasome kwa furaha' shauri serikali yako ikukate kodi ili madaktari 'walipwe kwa furaha'
   
 15. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  tumsamehe kwa sababu hajui alinenalo.
   
 16. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Haki ya madktari hapo ni ipi jamani embu tupunguze siasa. Kwani kazi yao ni kupangia serikali na abaki na nani atoke??? Je ni kwasababu ya unyeti wa huduma yao ndio wanafanya kuota mapembe?? Au sapoti walioipata kutoka kwa wananchi mwanzo wanafikiri itajirudi, watambue mwanzo tuliona serikali ilikuwa na makosa lakini kwa hili sasa naona wanachezesha shilingi zao tunduni mwa choo.
   
 17. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,232
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  kwa sababu hao wanaoitwa wateule wa raisi ni mizigo, hawana wanachojua na kama ujuavyo bongo politicians ndo decision makers hata kwenye mambo yanayoaffect taaluma zetu?waziri mkuu kwa kinywa chake mwenyewe alisema kuwa mpaka tar 3march hayo madai yangekuwa yametimizwa, so sijaona uvunjwaji wa katiba hapo
   
 18. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,232
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  wewe unajua qualifications za dr. Chichi?au we unadhani kila daktari ana digrii moja?
   
 19. joramjason

  joramjason JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  We wapopoe 2 mawe kama hujatairiwa mara mbili. Bdl ya kumpopoa mawe rahisi wako anyshndw fanya maamuz rhs unampopoa mawe mtaalam anaelinda afya yako. Akili yako ka za mwanaasha
   
 20. S

  Silent Burner Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawalindi afya zetu kama unavyofikiri. Wanalinda pale matumbo yao yanapokua yamejaa kulingana na tamaa zao.
  Hawa ni wauaji tu shauri ya tamaa zao.
   
Loading...