Ze Komed orijino wapo mbioni

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!
 
acha ibakie kuwa tetesi kuna kitu wana negotiate n tycoon mmoja hapa mjini mtashangaaa....wekeni hii kwenye archive zangu mtakuja niambia
 
hawako serious,maana hiyo clouds tv mwisho mkulanga na hata ving'amuzi vyao bado mgogoro...labda wameamua kufaa kisanii kwa namna hiyo.
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa niite masanja mjanja kigamboni nina kiwanja naenda kwa nguvu ya mungu situmii ganja wera weraaaaaaaaaaaaa sitoi bila ya helaaaaaaaaaa wamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Hapo kwenye red kipi ambacho hatoi bila hela??

 
Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!
Hao walisharambwagwa,waliondoka ITV kwa tamaa ya pesa na kufuata mkumbo wa ugomvi wasioujua (Manji na Mengi), hakika hawana jipya kilichobaki wameshaanza kujichimbia kaburi.

Karibu unga utaanza kupukutika, kabla ya nywele hazijaaza kupukutika. Unajua nadhani wanafikiria kwa kutumia sahemu za kukalia. Ushamba mwingi, maneno mengi, ngebe tupu, kumbe hakunaga"""""""""""""!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????


Na bado hiyo ni trella...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom