Mh Malima, vijana tunaomba semina elekezi. Je! Tutatumiaje bunduki kama mtaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Malima, vijana tunaomba semina elekezi. Je! Tutatumiaje bunduki kama mtaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Mar 12, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mheshima Malima, rai yako kuwa silaha ni mtaji tumeipokea kwa mikono miwili. Hii ni kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira. Pamoja na kuwa umesema jambo jema kwa ajili ya ukombozi kutoka adui mkubwa umasikini. Tunaomba sasa utupe maarifa na semina elekezi kuwa, tutatumiaje silaha kama mtaji? Tunataka kuiga mfano wako kwani mwenzetu tayari umeonyesha njia na kujipatia mafanikio makubwa.
   
Loading...