Mvua kubwa iliyoambatana na upepo inanye$ha sasa Dar-es-salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvua kubwa iliyoambatana na upepo inanye$ha sasa Dar-es-salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bampami, Mar 12, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  Toka nimekaa dar-es-salaam mwaka wa 12 sijawahii ona mvua kubwa ya namna hii.
  Ni mvua ambayo, imeambatana na upepo mzito na radi za hapa na pale.
  MUNGU WAKUMBUKE WATU WA MABONDENI YASIJE WAKUTA MAAFA MENGINE TENA.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Natumaini haitasababisha maafa.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  jiandaeni na mafuriko tena!
   
 4. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,201
  Likes Received: 527
  Trophy Points: 280
  huku kijijini kwetu inanyesha na ina radi lakini haina upepo mkali na si kubwa sana,japo imesababisha umeme wa TANESCO utwaliwe...
   
 5. S

  Shansila Senior Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi niko bondeni na sitoki kwa sababu si kila bonde linakumbwa na mafuriko.
   
 6. P

  Puza Senior Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh kama ni hivyo ngoja nianze kupiga mazoezi ya mbizi kwa miundo mbinu sijui kama tutanusurika.
   
 7. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Upepo ni mkali sana na sasa mvua kubwa inanyesha, eeh Mungu utunusuru na madhara yatakayoletwa na hii mvua
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Leo bonde lako litakumbwa ila Mungu akulinde!
   
 9. c

  chronict New Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safari ya mwabepande imewadia kwa waishio mabondeni.....hivi hii serikali yetu hailioni kama ni tatizo na ni aibu kwa taifa \
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Imeisha kwa awamu hii.....ngoja tujivute kwenda kunako vibaruani..tukagange njaa ,karibu masika dar na pwani yake yoote
   
 11. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  Naamini haijaleta madhara, ashukuriwe Mungu manake hali haikuwa nzuri mda inanyesha.Mimi wakati inanyesha nlikuwa kwenye jengo la floor kumi na moja hapa mlimani (Hall 5) yaani utadhani jengo ndolinaanguka Respect to Wazungu walojenga majengo haya hall 5, 2 na mengineyo.Much re$pect kwa SIR GOD KUTUEPUSHIA MAJANGA.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Asee hiyo Mvua unayoisema ni ipi hiyo? imenyeesha Dar au wapi?
  Mi nimeona kamvua kadogooo na kamekwisha!!
   
 13. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  kwa kawaida haiwezi kunyesha kote $awa, nazungumzia maeneo nliyopo hapa mlimani, ubungo, makongo, survey na mwenge cjajua kwingineko.
   
 14. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nijapopita ktk bonde lauvuli wa mauti , sitaogopa mafuriko..........mabwepande siendi ng'o.
   
Loading...