Natumaini hamjambo wote. Kwa wale wanautumia mafuta ya taa, aidha kwa kuwasha taa au kwa kupikia (jiko), ningependa kujua wanatumia shilingi ngapi kwa mwezi kwa manunuzi ya mafuta hayo? Natanguliza shukrani.
Natumia lita 10 kwa mwezi, lita moja bei yake ni 1300. Kwa hiyo natumia 13,000/- kwaz mafuta ya taa.