Mchungaji MTIKILA na wanaharakati kumfungulia mashitaka N/W Adamu Malima. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji MTIKILA na wanaharakati kumfungulia mashitaka N/W Adamu Malima.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wa kusoma, Mar 10, 2012.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Kuna taarifa zimezagaa kuwa mwanaharakati wetu mzee Mtikila baada ya kukaa kimya mda mrefu amesema ataungana na wanaharakati wengine kumfungulia kesi ya uzembe na kuchezea mali za serikari mh. Adamu Malima.


  Anasema ktk dai lake la msingi Mtikila amesema kuwa
  1. Ni ubadhilifu wa mali ya umma kwa kiongozi kama yule kutembea na mali zote zile hlf adai ameibiwa
  2. Hakubaliani hata kidogo na maelezo ya mh. N/W kuwa aliacha vitu vyote chumbani yeye akaenda sebuleni kuangalia TV. Iweje jasho la mtz litumike kulipia chumba cha laki 4 ambacho hakina hata TV?
  3. Anaudanganya umma, anapoteza muda wa viongozi wengi kufuatilia suala lake wakitumia hela ya serikali.

  My note: TUMPE USHIRIKIANO.
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  napita sasa nitarudi wajuzi wa mambo wakishafika lakini kujiuzulu kwa huyu mkuu ni lazima, na hiyo ndio iwe kipimo cha utawala bora tz!
   
 3. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  I support him 100% Sina shaka na record za Mtikila mahakamani, sikuzote huwa anashinda kwa knock out! Sasa huyu naye kapoteza mpaka pete ya kinga na bahati si ndio anapukutika kirahisi tu
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  chumba kipi tena ambacho hakina TV? Wakati umesema alikuwa sebuleni anatazama TV?
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Kazi za nje noma!
   
 6. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mtikila is a kind of an ambulance chaser and it is not surprising seeing him chasing after this one. It is same Mtikila who scorned Chadema's approach to writing of the new Constitution yet some of Magwand.a members will here heap praise on him for his decision to open a case against CCM's Malima. Knowing that his popularity is already down the toilet, the third-rate politician is attempting but unsuccessfully to be back in the newspapers.
   
 7. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa nini Malima anatembea na SM G hotelin?
   
 8. D

  Dopas JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Naungana na Mtikila na wengine.
  Huyo Malima ni kufukuzwa kazi, kisha kodi za wananchi alizoibiwa kimchezo. Vinginevyo aeleze aeleweke kuwa hizo hela zote alikuwa na kazi gani nazo hadi aende nazo guest.
  Afu nijuvyo, guesti za siku hizi zote zina TV, labda zile za vichochoroni za 2000, 3000 kwa siku. Yeye kalala ya laki 4, afu eti Tv sebuleni. Hiyo sebule ni km ngapi toka chumbani hadi asisikie mtu akiingia kwake?
  Asipoteze muda kutuhadaa, atoe maelezo mahakamani.
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Chumba cha dola 300 za Kimarekani kule uswahilini Morogoro eti hakikua na TV ndani au nilichosoma hapa ni macho yangu tu?????

   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  tv inabidi iwepo chumbani na sebuleni
   
 11. d

  deecharity JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  sasa seblen na chumbani ni sawa? Umeambiwa chumban hakuna tv inamana ndio mana aliacha chumba chake akaenda sebleni
   
 12. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Namuunga mkono. A M ni msanii tu. USD 4000, Tsh 1,000,000 anatembea nazo za nini kwa dunia hii ya visa na mater card. Rt dirsha lilibanjuliwa. Anatufanya sisi mabwege. CD amemkomesha
   
 13. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hawo wezi gani waache bastola achilia mbali bunduki
   
 14. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hapa tunaangalia uzito wa suala lenyewe na wala hatujali nani anayelisukuma mbele suala hili, kama tukitaka active politicians pekee ku deal na Malima then hatutapata msafi wa kuanza kumrushia malima jiwe! Go Mtikila Go!
   
 15. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Mi some times huwa naic mayb naota a country like tanzania mayb has never xisted..smbdy wake me up.
   
 16. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na hapa ndipo utaona taarifa ya Malima ni ya Uongo! Eti alienda sebleni kuangalia TV! Yeye asema alienda maeneo ya Top Life akachukua mwanamke akaenda kulala nae Hotelini kwake then akaingizwa mjini.
   
 17. m

  mubi JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  May be ilikuwa ni executive business suit ambayo Tv zinakuwa chumbani na sebule na shower cabin mbili.
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  I wish those guys chosing role models would be watching out! Hapo siyo,lol!
   
 19. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  chumba cha gharama kiasi hicho kinatakiwa kiwe na kila kitu. We unaishi dunia gani? Mpaka leo unataka mambo ya kwenda nje ya chumba kufuata vitu vingine,hebu jitafakari vizuri.
   
 20. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mkuu sio SMG ni silaha ya kivita AK 47
   
Loading...