Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

As-salaam alykum wanajf, habari nilizopata kutoka kwa mtu mmoja jina lake kwenye kikapu ni kwamba Kikwete anatarajiwa kumtangaza Prof.MAJIMAREFU mbunge wa tanga kuwa mrithi wa Dr.Mponda. Ebu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nimegundua humu jamaa wengi wakiona habari ya fcbk wanachungulia sana kunani?sasa kwanini mtu akisema fcbk jamaa mnaponda na kuona kama ukiwa JF ndio unakuwa mjanja sana au vp?acheni hizo najua...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
JumapiliI iliyopita, baadhi ya mashabiki waliokosa ustaarabu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam walichomoa viti 152 na kuvunja 11 kati ya hivyo katika kile kilichodhaniwa kuwa ni matokeo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kinahitaji mchango wako wa hali na mali.Toa mchango wako kupitia tigo pesa 0655783333 na m-pesa 0763744334
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwa na tishio la mgomo mwingine wa madaktari wakishinikiza kuanza mgomo mwingine, Mgomo wa kwanza ulisababisha vifo vingi tu vya ndugu zetu watanzania wenzetu waliokatwa kodi...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
Natumaini hamjambo wote. Kwa wale wanautumia mafuta ya taa, aidha kwa kuwasha taa au kwa kupikia (jiko), ningependa kujua wanatumia shilingi ngapi kwa mwezi kwa manunuzi ya mafuta hayo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna taarifa zimezagaa kuwa mwanaharakati wetu mzee Mtikila baada ya kukaa kimya mda mrefu amesema ataungana na wanaharakati wengine kumfungulia kesi ya uzembe na kuchezea mali za serikari mh...
12 Reactions
109 Replies
10K Views
Kuna habri ze comedi orijino wapo kwenye mzungumzo na uongozi wa Cloudtv ili waendelee kukamua huko!
0 Reactions
56 Replies
7K Views
JAMANI LEO TULIANGALIE ILI SWALA LA SUMATRA WAO KUTOA VYETI VYA UBAHARIA AU KWA KIFUPI MARITIME YOTE KWA UJUMLA WANAOFUNDISHA NI DMI CHETI,MTIHANI DMI VP VYETI WATOE WAO? MBONA DL HAWATOI WAO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje...
1 Reactions
212 Replies
18K Views
Kila kunapokucha tunashuhudia mpasuko mkubwa wa maadili kwa watoto na vijana wetu, pamoja na baadhi ya watoto kuwa na akili za kuzaliwa, watoto wengi wameharibikiwa na akili. Wengi ukiwaona...
7 Reactions
12 Replies
14K Views
Madaktari nchini Tanzania wamemaliza mgomo wao baada ya mazungumzo na mkuu wa nchi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu ningependa tujadili kauli ya katibu wa nishati na madini aliyoitoa jana kupitia ITV habari wakati akielezea sababu ya kutembea na baadhi ya vitu alivyoibiwa ikiwepo passport na vitu vingine...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia mijadala mbali mbali kuhusu kuenea kwa tabia za kitamaduni za magharibi kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba watanzania hawajui kuwa tamaduni za kimagharibi tunazopinga ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TBS wafanya ufisadi wa kutisha Send to a friend Saturday, 10 March 2012 10:11 0diggsdigg Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali Ludovic Utoh Mwandishi Wetu WAKATI kukiwa na taarifa za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MOBILE BOOTH LTD from Its Modest Beginnings Has Now Become One Of The Fastest Growing Retailers Of Mobile & Electronic Products On The Web. We Are Today An Authority In Power Protection: We...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani katiaka kupitia pitia magazeti niliyonunua leo baada ya kutoka kwenye ibada, nimekutana na habari ambayo imenishtua na kunitia majonzi makubwa. Habari hii nimeipata toka ktk gazeti la...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ofisi ya ZSSF iliopo kilimani z,bar zaendelea kuwaka moto
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Duu, ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, yaani anawaogopa watendaji wenzake kuwawajibisha kabisa ona sasa tutaanza kufa sasa hivi coz yako, madaktari walikwambia wawajibishe viongozi wakuu wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom