Mmarekani auwa raia 15 wa Afghanistan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmarekani auwa raia 15 wa Afghanistan

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, Mar 11, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [h=1]Mmarekani Kichaa auwa raia 15 wa Afghanistan[/h]
  11 Machi, 2012 - Saa 14:42 GMT  Mwanajeshi wa Marekani aliyehemkwa, aliuwa raia 15 majumbani mwao, wakiwemo watoto tisa, katika jimbo la Kandahar, Afghanistan, Jumapili alfajiri.
  [​IMG]

  Mwanajeshi huyo anazuwiliwa na inasemekana alipagawa kabla ya mauaji hayo.
  Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Leon Panetta, alisema amesikitishwa sana na tukio hilo.
  Mauaji hayo yametokea wakati kuna mvutano katika uhusiano baina ya Waafghani na wanajeshi wa Marekani, baada ya Kurani kuchomwa kwenye kambi ya Marekani mwezi uliopita, na kuzusha maandamano ya ghasia sehemu mbali mbali za nchi.

  source:BBC
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwani huwa hawapimwi afya zao?? Anaachwa hadi kaleta maafa kwa watu wasio na hatia...
   
 3. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wewe katavi usiwe ****....kazi wanayofanya wanajeshi inatosha kukufanya mtu kichaa.. mbona kila siku wanaua raia?
   
Loading...