Tanzanians in facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzanians in facebook

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Top Thinker, Mar 14, 2012.

 1. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mtandao wa facebook unatumika sana duniani kwa kila suala, kuanzia siasa, michezo, sanaa, afya, elimu na kadhalika, na kila kitu cha kufikirika basi kina special page ambayo utakuta fans wake wamei-"like".

  Kama na wewe ni mtumiaji wa facebook unakaribishwa ku-like ukurasa wetu huu ambao utatumika kutukusanya pamoja watumiaji wa facebook Tanzania katika masuala yote yahusuyo nchi yetu.

  fungua address: FACEBOOK TANZANIA | Facebook

  Then bofya "LIKE"

  Karibuni sana tujumuike.
   
Loading...