Video ya kulishwa sumu: Je yule mwanasiasa wetu alipitia mapito kama haya?

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,985
2,770
Nimeona Video hii kwenye mkutano wa Mtumishi wa Mungu TB Joshua. Nikasikitika sna kuona kama mtu akipewa sumu anaweza kuwa hivyo halafu akapona. Nimempa Mungu utukufu kwa kumponya huyu dada. Nikaona niwashirikishe wanaJF waweze kuona taabu hii. Nikahisi yule Mwanasiasa wetu labda naye alipitia kwenye mateso haya.
 
Last edited by a moderator:
wanaolishwa sumu ni kupitia kwa maaskofu wenu mnao waamini kama manabii, yani akikwambia kunywa kikombe wewe unakunywa ,tena kama ni mkatoliki yani ni rahisi kupewa sumu maaana kale ka mkate mnakosema ni mwili wa yesu ndiyo sumu inapowekwa so take care usifikiri waislamu wajunga wanavyokula kwenye sini watu wanne wanne hakuna nafasi ya kuwekewa sumu.
 
Wakatoliki wanakunyima usingizi eeh! Huna option utaendelea tu kutawaliwa nao kwani wanatawala dunia. Na ndiyo dini ya ukweli ambayo ilianzishwa na Mtume Petro alipokabidhiwa kondoo awachunge na Bwana Yesu Kristu. Wengine wote ni waprotestanti na wapinga kristo.
 
kweli wewe sio mzima
hebu ingia kanisani jifanye mkatoliki afu ukakomunike uone moto wake?
kuna shekhe mmoja alifanya hivo alijuta na hadi leo ni mkristo
usichezee ekaristi takatifu
angalia huu muujiza wa mji wa lanciano Italy
MIRACLE OF LANCIANO ITALY 750 AD !!! MIRACLE OF THE HOLY EUCHARIST !! 68 - YouTube
au soma hapa
Eucharistic Miracles
angalia pia watakatifu ambao hawakuoza hadi leo

Top 10 Incorrupt Corpses

wanaolishwa sumu ni kupitia kwa maaskofu wenu mnao waamini kama manabii, yani akikwambia kunywa kikombe wewe unakunywa ,tena kama ni mkatoliki yani ni rahisi kupewa sumu maaana kale ka mkate mnakosema ni mwili wa yesu ndiyo sumu inapowekwa so take care usifikiri waislamu wajunga wanavyokula kwenye sini watu wanne wanne hakuna nafasi ya kuwekewa sumu.
 
god does not exist guys ~ Huu ni usani wa kidini mtupu, waizi wote ~ isipokuwa tu, Dini inawasaidia wale wenye akili chafu kutokufanya maovu kwa kuwa ogofya, napenda amani na ustaarabu ila hakuga kitu kama mungu, yesu wala muhamed, hayo yote ni usani mtupu
 
nimeiona hii video nikamkumbuka Dr Harrison na ugonjwa wake wa ngozi. kwa hiyo kama ni sumu ilimdhuru huenda alikuwa kama huyu dada. thanks to medical advancement amepona ila ngozi imekuwa ni layer ya nne kama nilivyomsikia pale kwa Gwajima. na huyu dada naye ni hivyo ila kapona kwa ''Faith Healing''. Dr Harrison pole sana kama ulipitia taabu ya huyu dada.
 
kweli wewe sio mzima
hebu ingia kanisani jifanye mkatoliki afu ukakomunike uone moto wake?
kuna shekhe mmoja alifanya hivo alijuta na hadi leo ni mkristo
usichezee ekaristi takatifu
angalia huu muujiza wa mji wa lanciano Italy
MIRACLE OF LANCIANO ITALY 750 AD !!! MIRACLE OF THE HOLY EUCHARIST !! 68 - YouTube
au soma hapa
Eucharistic Miracles
angalia pia watakatifu ambao hawakuoza hadi leo

Top 10 Incorrupt Corpses
wewe inaonekana una ushabiki sisi ambao ni objectively sometimes we agreed on difference,soma vizuri historia ya miungu 12 ya kale ya kina petro then uje kurudi hapa. dini iliyokua duniani ni moja tu ISLAM zingine zote zimetengenezwa, ukitaka kujua kuwa uislam ni dini ya kweli simple angalia statement zake ,mf ".hakuna mtume baada yako muhammad " mpaka leo hajaja nabii yeyote zaidi ya babu wa loliondo ikaonekana ni feki. mfano mwingine ni kila nafsi itaonja umauti, hapa tunaona yesu hajafa lakini atarudi duniani aje kuuonja umauti. vipo vingi tu. we angalia miji yote mitakatifu ya kale kuna waislaam mfano ISRAEL,IRAQ,MISRI etc ukristo upo vatican yesu hajawahi kukanyaga ata siku moja..
 
kuna siku niliona kipindi chake,kuna baadhi ya watu wanajifanyisha.mmoja alikuwa ni secretary wake,kufika pale akajifanya kama ana mashetani,akarushiwa rushiwa maji,hapo hapo akapona,siku ya pili,akafatwa ofisini akaambiwa ndio yeye hakuwa na la kusema.na kuna mwengine alionyeshwa,kama mlemavu,alichukuliwa camera za siri,kabla ya kwenda kanisani alikuwa anatembea kawaida.miujiza ipo,ila sometimes,kuna usanii fulani
 
wanaolishwa sumu ni kupitia kwa maaskofu wenu mnao waamini kama manabii, yani akikwambia kunywa kikombe wewe unakunywa ,tena kama ni mkatoliki yani ni rahisi kupewa sumu maaana kale ka mkate mnakosema ni mwili wa yesu ndiyo sumu inapowekwa so take care usifikiri waislamu wajunga wanavyokula kwenye sini watu wanne wanne hakuna nafasi ya kuwekewa sumu.

black,Unadhalilisha uislam na waislam kuwa ni Waharifu kiasi cha kuogopana wao kwa wao,woga huambatana na uovu. wasio waovu hawana woga...
 
black,Unadhalilisha uislam na waislam kuwa ni Waharifu kiasi cha kuogopana wao kwa wao,woga huambatana na uovu. wasio waovu hawana woga...

wewe inaonekana una ushabiki sisi ambao ni objectively sometimes we agreed on difference,soma vizuri historia ya miungu 12 ya kale ya kina petro then uje kurudi hapa. dini iliyokua duniani ni moja tu ISLAM zingine zote zimetengenezwa, ukitaka kujua kuwa uislam ni dini ya kweli simple angalia statement zake ,mf ".hakuna mtume baada yako muhammad " mpaka leo hajaja nabii yeyote zaidi ya babu wa loliondo ikaonekana ni feki. mfano mwingine ni kila nafsi itaonja umauti, hapa tunaona yesu hajafa lakini atarudi duniani aje kuuonja umauti. vipo vingi tu. we angalia miji yote mitakatifu ya kale kuna waislaam mfano ISRAEL,IRAQ,MISRI etc ukristo upo vatican yesu hajawahi kukanyaga ata siku moja..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom