Jack Masamaki adakwa akitoa rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jack Masamaki adakwa akitoa rushwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cheze, Mar 13, 2012.

 1. cheze

  cheze JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 80
  Mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Kirumba bwana Jack Masamaki akutwa na wafuasi wa CHADEMA akitoa rushwa maeneo ya Kigoto-kirumba,na huu ndo mtaa anaotoka mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA bwana Bahati Kahungu.Polisi wameitwa na kumpeleka bwana Masamaki kituo cha police.TAKUKURU wamelala.
   
 2. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...mkuu tupe update...
   
Loading...