Mulugo hujambo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mulugo hujambo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mashambani kwao, Mar 14, 2012.

 1. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nimeangalia tv ccm, naibu waziri wa elimu amesema kuwa watoto wanaomaliza hawajui kusoma na kuandika kwa sababu walimu wanakunywa pombe.Mimi kwa point hiyo hajanishawishi hata kidogo wana Jf,hivi ni kweli sababu inakidhi?naomba tusaidiane,mchana mwema.
   
Loading...