Ina maana madaktari walisema uongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ina maana madaktari walisema uongo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lyamungo, Mar 13, 2012.

 1. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK katika 'mhadhara' wake kwa 'wazee' amedai kuwa hali ya afya si mbaya nchini na serikali imejitahidi sana kuboresha na mabo ni mazuri, ndo najiuliza
  • Ina maana madaktari walikuwa wanadai uongo?
  • Mbona viongozi wenyewe wakiugua hata kama ni malaria mfano Zito wanakimbizwa nje?
  • Wodini kila mtu ana kitanda chake?
  • Vifaa tiba vinatosheleza?
  • Wataalam wa afya wanatosheleza?
  • ..............................?
  • ...............................?
   
 2. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  He never stop amazing me! Yani Tanzania ni kama Amusement park! Dah!
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Nimeamua kaendelea kushangaa wakati wodini wajawazito wako 90 na kuna vitanda 40, sijui hajiulizi huwa wanalalaje. Dawa hakuna budget ya OC umekula ndogo juzi
  Nakutama na mkuu Wa hospitali moja ya mkoa ananieleza hata hajui afanye nini......kwa hotuba ya jk
  Kwa wazee nilimpigia na kumwambia mwenye nchi
  Kasema hakuna tatizo, kazi kwako! Kula mgonjwa atanunua dawa Kama hawezi ndo basi tena
   
Loading...