Chuo Kikuu chatunuku shahada bandia watu maarufu

MKL

Senior Member
Mar 2, 2012
126
77
Wakati Mengi na wenzake wanasema wametunukiwa Degree halali za Heshima na JBI TCU kwa kutumia gazeti lake mwenyewe Mengi "NIPASHE" la jana ilikanusha kutambua PhD hizo kwa tamko kali na leo Mwananchi ukurasa wa Pili nalo limetoa habari hiyo hiyo. fatilia Link hii Kuona story yenyewe.

Dotto Kahindi na Boniface Meena | Mwananchi

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imekana kukitambua Chuo Kikuu cha Japan Bible Institute Graduate School of Theology kilichotoa Shahada ya heshima kwa mfanyabiashara maarufu nchini, kutokana na kutotambulika kisheria nchini.

Kwa mujibu wa taarifa ya TCU kwa umma iliyotolewa jana kwenye gazeti la moja la kila siku (siyo Mwananchi), chuo hicho kimekuwa kikitangaza kutoa kozi mbalimbali za uzamivu (PhD) kwenye nyanja za dini na jamii.

Taarifa ya TCU imekuja siku chache baada ya chuo hicho kuwatunuku Shahada ya heshima ya udaktari watu mbalimbali akiwamo, Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP.

Katika wasifu uliotolewa na chuo hicho kwa mwenyekiti huyo, ni kwamba hatua hiyo imefikiwa baada ya juhudi zake za kusaidia makundi mbalimbali ya watu wakiwamo walemavu, wajane na watu walioathirika na Ukimwi. Pia, kutambua mchango wake katika kutumikia kanisa.

Kwa mujibu wa taarifa ya TCU, chuo hicho kinatangaza kuwakilisha tawi la taasisi iliyopo nchini Marekani na kwamba, makao yake makuu kwa bara la Afrika yapo Dar es Salaam, huku eneo la ofisi likiwa halijulikani kilipo.

"Tume inachukua fursa hii kuuarifu umma kwamba chuo hiki hakitambuliki kwa mujibu wa sheria na kwamba wamiliki wa Japan Bible Institute Graduate School of Theology hawana kibali cha kutoa elimu ya chuo kikuu ambayo inatambuliwa hapa nchini," inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Tume hiyo ilitoa tahadhari kwa umma kuepuka ulaghai ambao unafanywa na watu eneo la elimu ya juu kwa kuwa vyeti vitakavyotolewa na chuo hicho havitatambulika na tume na haviwezi kutumika nchini.

Tume ilitoa onyo kali kwa wamiliki wa chuo hicho , ikiwataka kuacha mara moja kutoa matangazo ya shahada za aina hiyo nchini, bila kufuata taratibu na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa atakayekwenda kinyume cha sheria.

Hata hivyo, wakati wa sherehe za kutunukiwa kwa mwenyekiti huyo zilizofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja mwishoni mwa wiki iliyopita, Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Kanda ya Afrika, Askofu Dk Paul Shemshanga, alisema chuo chake kinatambuliwa na taasisi mbalimbali ulimwenguni na kuishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuwapa ruhusu ya kutoa elimu hiyo nchini.

Msemaji wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Abdulhamid Njovu, alipoulizwa kuhusu suala hilo alisema anachokifahamu ni kuwa hakiingii kwenye mfumo wa TCU, kwa sababu kinahusiana na dini chenye misingi ya kikristo.

Njovu alisema TCU walitoa barua yenye kumbukumbu namba TCU/A60/25/ ya Machi 9, mwaka huu kuruhusu kufanyika kwa sherehe hizo za utoaji shahada za uzamivu (PhD).

"Huwa wanatoa shahada za heshima kwa watu wenye matendo ya kichungaji kwa kuwa, chuo chao ni cha masuala ya dini na wote waliokuwapo pale ni viongozi wa dini isipokuwa wale watunukiwa," alisema Njovu na kuongeza: "Masuala hayo yote ni ya viongozi wa kidini."

CHANZO: http://www.mwananchi.co.tz/habari/4-habari-za-kitaifa/21070-chuo-kikuu-chatunuku-shahada-bandia-watu
 
Niliwasikia jamaa watoa hizo shahada wakijinasibu kwamba chuo chao ni miongoni mwa vyuo mahiri sana hapa dunia kwa kutoa shahada zinazoendana na mambo ya imani ya kikristo. Jamaa wakasema kwa "TCU" ya huko ughaibuni inawatambua. Ngoja niangalie TCU inayokitambua hicho chuo paamoja na vyuo vingine vinavyotoa PhD za kidini kisha nitarudi kuchangia.
 
wakati mengi na wenzake wanasema wametunukiwa degree halali za heshima na jbi tcu kwa kutumia gazeti lake mwenyewe mengi "nipashe" la jana ilikanusha kutambua phd hizo kwa tamko kali na leo mwananchi ukurasa wa pili nalo limetoa habari hiyo hiyo. Fatilia link hii kuona story yenyewe.

dotto kahindi na boniface meena | mwananchi

tume ya vyuo vikuu tanzania (tcu), imekana kukitambua chuo kikuu cha japan bible institute graduate school of theology kilichotoa shahada ya heshima kwa mfanyabiashara maarufu nchini, kutokana na kutotambulika kisheria nchini.

Kwa mujibu wa taarifa ya tcu kwa umma iliyotolewa jana kwenye gazeti la moja la kila siku (siyo mwananchi), chuo hicho kimekuwa kikitangaza kutoa kozi mbalimbali za uzamivu (phd) kwenye nyanja za dini na jamii.

Taarifa ya tcu imekuja siku chache baada ya chuo hicho kuwatunuku shahada ya heshima ya udaktari watu mbalimbali akiwamo, mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya ipp.

Katika wasifu uliotolewa na chuo hicho kwa mwenyekiti huyo, ni kwamba hatua hiyo imefikiwa baada ya juhudi zake za kusaidia makundi mbalimbali ya watu wakiwamo walemavu, wajane na watu walioathirika na ukimwi. Pia, kutambua mchango wake katika kutumikia kanisa.

Kwa mujibu wa taarifa ya tcu, chuo hicho kinatangaza kuwakilisha tawi la taasisi iliyopo nchini marekani na kwamba, makao yake makuu kwa bara la afrika yapo dar es salaam, huku eneo la ofisi likiwa halijulikani kilipo.

"tume inachukua fursa hii kuuarifu umma kwamba chuo hiki hakitambuliki kwa mujibu wa sheria na kwamba wamiliki wa japan bible institute graduate school of theology hawana kibali cha kutoa elimu ya chuo kikuu ambayo inatambuliwa hapa nchini," inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Tume hiyo ilitoa tahadhari kwa umma kuepuka ulaghai ambao unafanywa na watu eneo la elimu ya juu kwa kuwa vyeti vitakavyotolewa na chuo hicho havitatambulika na tume na haviwezi kutumika nchini.

Tume ilitoa onyo kali kwa wamiliki wa chuo hicho , ikiwataka kuacha mara moja kutoa matangazo ya shahada za aina hiyo nchini, bila kufuata taratibu na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa atakayekwenda kinyume cha sheria.

Hata hivyo, wakati wa sherehe za kutunukiwa kwa mwenyekiti huyo zilizofanyika viwanja vya mnazi mmoja mwishoni mwa wiki iliyopita, mkurugenzi wa taasisi hiyo kanda ya afrika, askofu dk paul shemshanga, alisema chuo chake kinatambuliwa na taasisi mbalimbali ulimwenguni na kuishukuru serikali ya tanzania kwa kuwapa ruhusu ya kutoa elimu hiyo nchini.

Msemaji wa mwenyekiti mtendaji wa ipp, abdulhamid njovu, alipoulizwa kuhusu suala hilo alisema anachokifahamu ni kuwa hakiingii kwenye mfumo wa tcu, kwa sababu kinahusiana na dini chenye misingi ya kikristo.

Njovu alisema tcu walitoa barua yenye kumbukumbu namba tcu/a60/25/ ya machi 9, mwaka huu kuruhusu kufanyika kwa sherehe hizo za utoaji shahada za uzamivu (phd).

"huwa wanatoa shahada za heshima kwa watu wenye matendo ya kichungaji kwa kuwa, chuo chao ni cha masuala ya dini na wote waliokuwapo pale ni viongozi wa dini isipokuwa wale watunukiwa," alisema njovu na kuongeza: "masuala hayo yote ni ya viongozi wa kidini."

chanzo: http://www.mwananchi.co.tz/habari/4-habari-za-kitaifa/21070-chuo-kikuu-chatunuku-shahada-bandia-watu

hawa si paka kama dady wao tu unaijua tcu...we kafwatilie degree za mawaziri ujue upuuzi wa tcu na kwa nini wako pale ...kama una kumbukumbu nzuri walidiriki kusema kuna baadhi ya phd za mawaziri awazitambui mpaka leo wamefikia wapi kama sio wehu so sioni kwa nini nisipewe na mie
dk basisasi kilawekundu nshorimana...maisha ni hapa hapa duniani swala ni kuwahi wale ma waziri awakujali mpaka leo wanaitwa dk kalambwa dk....dk.... Next wahy not u ..tafuta channel mpwa phd nje nje wewe tu utakomaa na wahadjiri wa udsm /open wengine mpaka wale mkeo ndio wanatoa u phd si ufuska huu
 
Kwanza hii kitu siipendi na sitaki kuisikia....eti shahada za heshima.... heshima nenda darasani otherwise ni mazingaombwe matupu matokeo yake mnatuchakachulia elimu .....slaa aitwe dk na nanilihii nae pia..?? Napata hasira sana. Kama nanilihii ni dk....i mean baba mwanaasha sasa nyerere alikuwa nani?? Profesa?? mbona hawakuwahi kumwita hivyo??
 
new77777.jpg
HOME
ABOUT US
BELIEFS
https://www.jamiiforums.com/pg4.htmFAQ / ACCREDITATION
DEGREE PROGRAMS
CURRICULUM DESCRIPTION
COURSES = WHICH DEGREES
HONORARY DEGREES
TRANSFERRING CREDITS
DEGREES BY EXPERIENCE
CERTIFICATE PROGRAMS
[URL="https://www.jamiiforums.com/pg11.htm"]PRICES / PAYMENT METHODS[/URL]
HOW TO GET STARTED
SCHOOL LIBRARY/LINKS
NONTRADITIONAL DEGREES
LAW RE: RELIGIOUS DEGREES
JAPAN & RELIGIOUS DEGREES
MISSION STATEMENT
CONTACT
SCHOOL CATALOG
 
JBI2.jpg
ALL INFO IN CONTAINED IN THE SCHOOL CATALOG
FREE BIBLE COURSE
JAPANESE COURSES
MINISTRY JOBS
NEWSLETTER
WEEKLY BIBLE STUDY
FELLOWSHIP HALL
 
WHO ARE OUR STUDENTS?
Our students average 35 years or more and are self-supporting. We have a fair mix of male and female, black and white, lay Church workers, part-time and full-time ministers. They are zealously serving the Lord in their respective callings, ministering in Hospitals, Rest Homes, Jails, Prisons, etc. Some are prominent leaders and officers in Churches of many kinds.They are involved on the cutting edge of what God is doing in this end-time. Many are serving as Pastors or Assistant Pastors of Churches. Others are engaged in all kinds of Para-Church operations.
 
Welcome to The Japan Bible Institute,
This is where you will find rich life changing, motivating truths which will guide you into finding heartfelt answers to many of life's unanswered questions and keys for direction, guidance, motivation and assurance in these uncertain times which we all face. We have personally found God's Word (The Holy Bible) to be totally reliable and an endless well of total sustenance for inner inspiration and victorious well being. The Bible is something that we have found we can rely on through out "all life's" changing circumstances.
The Japan Bible Institute is an Online Correspondence School. We have No off line facilities or campuses. The Study Materials are in PDF format which can be printed from any printer and we will help you with questions via email. We will conduct some Seminars from time to time and will be happy to notify you of these through our weekly ezine. (Newsletter)
We are here to help empower independent Christian ministers in Japan and around the globe with the tools and backing they need to reach lost souls for Christ. We are here to help you with the challenges you face in preaching the Gospel and want to supply the ministry credentials you need to do the Job.
 
OUR LEGITIMATE STANDING
The Japan Bible Institute is formally organized with a Board of Directors and Articles of Organization, Constitution, and By-Laws. We are affiliated with the Full Gospel of Christ Fellowship, Inc. In accordance with Rom.13:1-7, (sanctioning Human Government), The Japan Bible Institute has properly contacted the Japan Educational Ministries who, because our offerings are entirely religious, has granted us permission to carry on our activities of granting religious degrees.
 
OUR ACCREDITATION
The Japan Bible Institute is fully accredited by WORLD WIDE ACCREDITATION COMMISSION OF CHRISTIAN EDUCATIONAL INSTITUTIONS (WWAC) anyone wishing to contact them for verification may write to: The WWAC, Dr. Paul Richardson Executive President, 2800 Blendwell Rd. Richmond, Va. 23224. We wish to make it perfectly clear that due to the principle of separation of Church and state Mk. 12:17;Ja. 4:4;2Cor. 6:14, the WWAC has chosen not to seek endorsement by either EAES or COPA, but is a rapidly growing and respected network of over 200 schools on the cutting edge of the cause of Christ.
 
Also
aact.png
Japan Bible Instituteis certified by the
AACT
as a
"Certified Academic Institution"
 
NOTICE OF NON-DISCRIMINATION POLICY
The Japan Bible Institute is open to all Christians of good moral character. We are happy to instruct and train God's Children regardless of: Race, Nationality, Color, Cultural profile, Denominational background, Class, Gender, Economic status, or Ethnic Origin Every student is admitted to the same educational programs, rights, privileges, and honors. And this is in conformity to Civil Rights Act of 1964, but not because of it.
 
May God Bless You as you begin the Leap of Faith into Greater Knowledge of our Lord and His Word and Serious Preparation for Service in His Kingdom.
Rev. Dr. Ken Kovach
The Japan Bible Institute
The Japan Bible Institute
SAMPLE DEGREES Click here for larger view.
certificate%20sample1.jpg
sample%20degree2.jpg
The Bible Courses available from the Japan Bible Institute are similar and in many cases the same used in many 2~3 year Bible Colleges. They are non-denomination by definition but we will strive to offer additional points of view to give the student a choice in their personal beliefs. Although each student has his divine given right to his beliefs on certain issues we all serve One Lord and are made to Partake of One Spirit and Love is greater than these differences. We at Japan Bible Institute encourage loving interactions in the body of Christ that we can all together unite to win the World for Jesus!
We have full confidence that you will receive a well balanced Bible Education at Japan Bible Institute that will enable you to go into the Christian Ministry of your choice and we will help assist you if it is with in our capabilities. But as mentioned earlier, it is our hope, joy and reward that each student will graduate with a greater joy, knowledge, faith in the Lord and dependence on His Word.
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]
While Visiting the Site Please Get YOUR OWN SUBSCRIPTION COPY Of Success Services Christian Ezine!
Preview this Free Subscription Gift We have prepared for You! Click HERE! Plus a constant flow of Christian Ministry e-Books.
Yes, I Want Christian Devotionals, Latest Christian Website Promotional Tips and Product Releases and I'm ready to Grab my FREE Software and Resourceful Downloads Now!
Subscribe Now
Name:
E-mail Address:
Success Services Christian Ezine hates SPAM! And will never sell or give your info to a third party. Every Ezine comes with an unsubscribe link. (But you'll Miss All the Fun.) You must confirm your Email to receive the download link
KJV Audio Bible 81 CDs DVDs Special Value. (..The Word was God.. Word was Made Flesh.. The Word Shall Never Pass Away.. Find More of Jesus and His Truths in His Word!) Click here.
skrill-chkout_int_110x62.gif
[/TD]
[/TR]
 
new77777.jpg
HOME
ABOUT US
BELIEFS
https://www.jamiiforums.com/pg4.htmFAQ / ACCREDITATION
DEGREE PROGRAMS
CURRICULUM DESCRIPTION
COURSES = WHICH DEGREES
HONORARY DEGREES
TRANSFERRING CREDITS
DEGREES BY EXPERIENCE
CERTIFICATE PROGRAMS
[URL="https://www.jamiiforums.com/pg11.htm"]PRICES / PAYMENT METHODS[/URL]
HOW TO GET STARTED
SCHOOL LIBRARY/LINKS
NONTRADITIONAL DEGREES
LAW RE: RELIGIOUS DEGREES
JAPAN & RELIGIOUS DEGREES
MISSION STATEMENT
CONTACT
SCHOOL CATALOG
 
JBI2.jpg
ALL INFO IN CONTAINED IN THE SCHOOL CATALOG
FREE BIBLE COURSE
JAPANESE COURSES
MINISTRY JOBS
NEWSLETTER
WEEKLY BIBLE STUDY
FELLOWSHIP HALL
 
WHO ARE OUR STUDENTS?
Our students average 35 years or more and are self-supporting. We have a fair mix of male and female, black and white, lay Church workers, part-time and full-time ministers. They are zealously serving the Lord in their respective callings, ministering in Hospitals, Rest Homes, Jails, Prisons, etc. Some are prominent leaders and officers in Churches of many kinds.They are involved on the cutting edge of what God is doing in this end-time. Many are serving as Pastors or Assistant Pastors of Churches. Others are engaged in all kinds of Para-Church operations.
 
Welcome to The Japan Bible Institute,
This is where you will find rich life changing, motivating truths which will guide you into finding heartfelt answers to many of life's unanswered questions and keys for direction, guidance, motivation and assurance in these uncertain times which we all face. We have personally found God's Word (The Holy Bible) to be totally reliable and an endless well of total sustenance for inner inspiration and victorious well being. The Bible is something that we have found we can rely on through out "all life's" changing circumstances.
The Japan Bible Institute is an Online Correspondence School. We have No off line facilities or campuses. The Study Materials are in PDF format which can be printed from any printer and we will help you with questions via email. We will conduct some Seminars from time to time and will be happy to notify you of these through our weekly ezine. (Newsletter)
We are here to help empower independent Christian ministers in Japan and around the globe with the tools and backing they need to reach lost souls for Christ. We are here to help you with the challenges you face in preaching the Gospel and want to supply the ministry credentials you need to do the Job.
 
OUR LEGITIMATE STANDING
The Japan Bible Institute is formally organized with a Board of Directors and Articles of Organization, Constitution, and By-Laws. We are affiliated with the Full Gospel of Christ Fellowship, Inc. In accordance with Rom.13:1-7, (sanctioning Human Government), The Japan Bible Institute has properly contacted the Japan Educational Ministries who, because our offerings are entirely religious, has granted us permission to carry on our activities of granting religious degrees.
 
OUR ACCREDITATION
The Japan Bible Institute is fully accredited by WORLD WIDE ACCREDITATION COMMISSION OF CHRISTIAN EDUCATIONAL INSTITUTIONS (WWAC) anyone wishing to contact them for verification may write to: The WWAC, Dr. Paul Richardson Executive President, 2800 Blendwell Rd. Richmond, Va. 23224. We wish to make it perfectly clear that due to the principle of separation of Church and state Mk. 12:17;Ja. 4:4;2Cor. 6:14, the WWAC has chosen not to seek endorsement by either EAES or COPA, but is a rapidly growing and respected network of over 200 schools on the cutting edge of the cause of Christ.
 
Also
aact.png
Japan Bible Instituteis certified by the
AACT
as a
"Certified Academic Institution"
 
NOTICE OF NON-DISCRIMINATION POLICY
The Japan Bible Institute is open to all Christians of good moral character. We are happy to instruct and train God’s Children regardless of: Race, Nationality, Color, Cultural profile, Denominational background, Class, Gender, Economic status, or Ethnic Origin Every student is admitted to the same educational programs, rights, privileges, and honors. And this is in conformity to Civil Rights Act of 1964, but not because of it.
 
Back
Top Bottom