Si kuinua matiti, ni kufanya massage matiti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si kuinua matiti, ni kufanya massage matiti!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpigaji, Mar 13, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ile habari iliyopewa nafasi kubwa katika vyombo vya habari kuwa kuna mashine ya kuinua matiti yaliyolala,imekanushwa na wamiliki wa kituo kinachohusika kuwa haiinui matiti yaliyolala bali ni kwa ajili ya kufanya massage ya matiti!
  Source:EATV KURASA.
   
 2. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa hiyo kurasa wamesema massage kwaajili ya nini
   
Loading...