Kauli Blandina Nyoni kwa hisani ya Dawa ya sikio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli Blandina Nyoni kwa hisani ya Dawa ya sikio

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Mar 13, 2012.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ********
  "Nilifaulu PCB...Kwa kutambua ubovu wa
  MEDICINE mzazi wangu akanisomesha
  ACCOUNTS...Sijui mnalalamika nini!
  Mlichagua wenyewe."-B.Nyoni.
   
 2. W

  WARREN Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heee kumbe!!!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna ukweli kwenye hiyo kombi na kuwa daktari lakini sihdani kama ni sahihi kukashifu madaktari...

  nchi inayoongozwa ki-profesheni haihangaiki na wataalam, ila inayoongozwa kisiasa inaharibu sana wataalam....

  huwezi amini mama nyoni ni mhasibu, ana-behave very negative kwa watu wengi
   
 4. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Mama Nyoni alikuwa donda ndugu katika wizara ya Afya. Kama kunakitu Tz imenufaika na mgomo wa madaktari basi ni kuondoka kwake. Thanks to doctors for that.
   
 5. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Blandina alijibu hivyo, Lucy na Mponda walijibu nini hadi wanalilia waondolewe? Mkuu naomba tufahamishwe wana jf
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Maneno yamkosaji hayo....
   
 7. B

  Bijou JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  pengine tupate matokeo hiyo PCB alipata nini? kwani uzoefu unaonyesha kuwa wengi waliofeli sayansi hukimbilia kusoma uhasibu, wenye data watujuze!!
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hata Maalim Nyerere alianza hivyo hivyo akaishia kwingine. Umesahau au hujasoma habari zake?
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yawezekana kabisa Blandina hajawahi kuugua. Nae Mponda kuna kauli aliitoa kuwa anahusika na wanajimbo wake na wakulima na si madaktari. Sijui hawa watu huwa wanawaza nini kabla na wakati wa kutoa kauli hizi
   
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu mzee wa watu ataku(wa)tesa sana mpaka na wewe utakapoingia Kaburini. Naogopa kuandika "Julius Nyerere" kwani ukiliona kama huweweseki basi unapandisha maruhani!!
   
Loading...