Ajali basi la am coach kutoka Moshi Mwanza

kimamii

Member
Mar 8, 2012
56
10
ajali imetokea misungwi nje kidogo na jiji la mwanza,basi limepinduka matairi yametizama juu........
 
Habari zimekufikia toka wapi? Ajari imetokea sehem gani? Nini majaaliwa ya habiria? Unapofikiwa na habari sio kukurupuka kupost wakati huna details. Anyway Mungu awanusuru wote waliokuwemo. AM Coach inaongoza kwa mabasi mabovu Tanzania lakini traffic wanayachekea tu
 
Sasa utasingizia ajali......... Mimi niko mza na hapa niko stand nilikua namsubili ndugu yangu, gari limepinduka nje kidogo na mji wa mza
 
Jamani mjomba kaleta habari.Sasa nyie mnae muuliza maswali mtafikiri yeye ndo dereva wa hilo basi.Kuni kweli nyie
 
ni vizuri tukasikilizana siyo kulumbana,wala kaka ajafanya vibaya kutujuza.tuwe tunavumiliana.
 
Back
Top Bottom