Sintonunua tena gazeti la The Citizen | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sintonunua tena gazeti la The Citizen

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Stig, Mar 13, 2012.

 1. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 882
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Nimekuwa msomaji wa muda mrefu wa hili gazeti. Baada ya kuona kuwa siku hizi limekuwa gazeti la magamba, basi nimeona sina haja ya kununua propaganda. Mimi mwenyewe naweza kufikiria bila ya kusaidiwa na mhariri wa gazeti.

  Nawatakia kila la shari.
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Unataka kila siku waandike yanayokupendeza? Lakini mwananchi unasoma? Wewe kweli umeishiwa
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huo ndo uhuru wa habari Kumbuka zilipo kufarahisha wewe kuna mwenzako zilimkera

  Uamuzi uliochukua ni uamuzi wa watu Dhaifu kabisa Sitegemei wewe Comrade kuwa kwenye kundi hilo.

  Itengue hoja yako kwa maslai yako
   
 4. m

  matawi JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wala huhitaji kutuambia umeacha kununua fanya kimyakimya wakiona mauzo yameshuka watabadili style ya kuandika
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu.unataka kila siku.waandike kuhusu Slaa
   
 6. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Usijali tutaandika habari za CHADEMA wiki ijayo.
   
 7. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unaweza kuendelea tu kulisoma ili upate mtazamo wa media pia zilizo egemea upande flani ili uwe kwenye nafasi ya kujua jambo lilelile kutokea katika pembe tofauti.
   
 8. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Anayeacha hatangazi!unatangaza ili ubembelezwe????
   
 9. W

  WARREN Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaahh jamani nyie hamjamuelewa huyo! Yaani anataka mumsaidie kuliponda gazeti husika ili a-conferm kama yuko sahihi ktk mawazo na maamuzi yake! Lkn ananikumbusha huko kwetu nilikokulia kulikuwa na chizi mmoja alikuwa kila akiudhiwa anachukua chupa ya soda anaanza kuiponda ponda tena anafanya hivyo anapoona kuna watu wamekaa sehemu basi anajisogeza jirani yao halafu anaanza kufanya hiyo kazi yake, basi anakuwa anasubiri mumkataze ili ujumbe umfikie aliye muudhii! Haaahaaaahaa!
   
 10. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !
   
Loading...