Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

mabomba hayatoi maji ,mitaro imeziba miundo mbinu imechakaa sehemu ya kuweka taka ni hoteli majiko ya kukangia samaki ya makaa ya mawe wanatumia kuni maji ya kupoozea mkaa wanatumia vibobo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida kwa TANESCO kutoa tamko pale ambapo kunakuwa na kukatika kwa UMEME.Ni muda sasa kumekuwepo na kukatika kwa umeme maeneo mengi ya nchi, nimejaribu kufuatilia ni nini tatizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mheshimiwa Lowasa karudi kutoka German jana na kuthibitisha kwamba yuko fiti kiafya tayari kwa mapambano yaliyo mbele yake. Hivi wana JF ni mapambano gani hayo?
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Habari wadau Hivi karibuni nimejionea hapa Dar es salaam watu wanaweka plate namba kwenye magari zina majina yao. Mfano kuna magari yamewekwa jina RICH na majina mengineyo. Hivi hii inaruhusiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda wa wiki sasa hii runinga ya taifa imekuwa ikifanya vituko vya ajabu kwenye vipindi vyake na hasa Taarifa ya habari. Humu ndani kuna topiki zaidi ya kumi zinazoongelea/lalamikia namna TBC...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana-JF na waTanzania wote wenye mapenzi mem. Mimi naona swala la kupiga kelele haitoshi. Kila mtu anaathirika na ufisadi kwa njia moja au nyingine. Hawa mafisadi wanatufanya tushindwe...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
"Dk. Slaa (Willibrod – Katibu Mkuu wa Chadema), huwa mnyenyekevu sana kwa Serikali ya CCM. Juzi hapa alikuwa anaomba kwenda kutibiwa nje ya nchi, alikwenda serikalini kwa unyenyekevu mkubwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Raia mmoja wa Uholanzi, Marise Koch, amemfanyia kitendo cha udhalilishaji Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Marera iliyopo kata ya Rhotia Wilayani Karatu mkoani Arusha kwa kumpiga vibao mbele ya...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Redio yao hawaioni hadi wamkamate mtikila? kwanza hii redio juzijuzi si walichanga mipesa ili waanzishe tv?...mipesa imeshaliwa na wajanja? Mtikila anaswa kesi ya kumwita JK gaidi na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
!!watanzania tulikuwa ma bogasi kweli mpaka mtu aakalazwe ujermani ndio watu wanakimbilia kupiga kelele nimekaa nikajiuliza baada ya makeelele mengi kwamba mkapa alipigwa na mkewe ndio maana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kila siku nikirudi nyumbani naambiwa umeme haujawaka mchana kutwa. Utawashwa jioni kwa muda mfupi then unakatwa na kuwashwa tena usiku mwingi. Kama kuna mgao kwanini tanesko hawatoi taarifa basi!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wa mabondeni Dar chukueni tahadhari. Anga imechafuka full kiza(giza)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa ndege kubwa ikiwa na abiria 200 imeanguka kiwanjwa cha JNIA na helcoper zinaonekana angani kupeleka majeruhi muhimbili.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nilikutana na kitabu kimeandikwa Sitasahau Mv.Bukoba hapa katika maktaba ya chuo(UDSM) mwanzoni nilifikiri ni kama vitabu vya shigongo.nikapata mstuko kidogo,shigongo na maktaba ya...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wakubwa wa Jamvini, heshima kwenu. Siku zote nimekuwa nikihitaji kupakua nyimbo zilizo kwenye internet hasa zilizo kwenye Yu tube. Sijafaulu hadi sasa nnapoomba msaada kwenu wazoefu. Simu yangu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa wana JF anayefahamu hili la mtandao wa simu wa tiGO kutoza TZs 34/= kila siku kutoka katika salio langu bila sababu, kwani mimi si mtumiaji sana kupigia mtandao huo kutokana na watumiaji wengi...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Wakuu naomba msaada nipo dar natarajia kununua simu aina ya blackberry genuine from America( sio under licence) nasikia kuna maduka ya simu hapa yanauza blackberries lakini si genuine sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani niko safarini kutoka Shy kwenda Mby kupitia Nzega,Tbr, nk. Hii bac nnayo safiri nayo imejaza abiria hadi wengine wamesimama. Sasa shida iko hapa.., kuna jamaa kasimama karibu nami hapa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
9 Things that will Disappear in our Lifetime... Whether these changes are good or bad depends in part on how we adapt to them. But, ready or not, here they come. 1. The Post Office: Get ready...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Members mnaoishi Kigamboni naomba tusaidiane/ tushauriane jinsi ya kuboresha huduma za vivuko vyetu hasa upande wa taarifa. Leo asubuhi, kivuko kidogo cha Mv Kigamboni kilikuwa kimepark na Mv...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…