Wafanyakazi Wa TBC Wanahujumu??

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Kwa muda wa wiki sasa hii runinga ya taifa imekuwa ikifanya vituko vya ajabu kwenye vipindi vyake na hasa Taarifa ya habari. Humu ndani kuna topiki zaidi ya kumi zinazoongelea/lalamikia namna TBC kulivyo na ubabaishaji.
Mimi nahisi kuna hujuma za waziwazi kutoka ndani ya watendaji wa hiki chombo ili watazamaji tuzidi kuichukia. Haiwezekani mafundi mitambo wafanye upuuzi uleule kila siku. Ili kupunguza malalamiko management ya TBC wawachunguze wafanyakazi maana kuna kila dalili hujuma zinatoka ndani.
 
Hata kama hilo lipo VIVA mafundi mitambo maana sioni kitu inachokifanya TBC1 zaidi ya kuwa mdomo wa CCM. Nadhani ikiwa hivyo itakuwa imewachosha na watumishi wake.
 
Back
Top Bottom