Custom-made plate numbers zinaruhusiwa kwenye magari Tanzania?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Custom-made plate numbers zinaruhusiwa kwenye magari Tanzania??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mponjoli, Mar 16, 2012.

 1. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Habari wadau

  Hivi karibuni nimejionea hapa Dar es salaam watu wanaweka plate namba kwenye magari zina majina yao. Mfano kuna magari yamewekwa jina RICH na majina mengineyo.

  Hivi hii inaruhusiwa Tanzania?

  Najua Uganda hii kitu inaruhusiwa, Kenya imeruhusiwa ila bado sheria haijaanza kutumika na juzi tu gari ya McDonald Marica wa Parma Italy imekamwatwa Nairobi.

  Asanteni
   
Loading...