kulikoni soko la feri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kulikoni soko la feri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUGO CHAVES, Mar 16, 2012.

 1. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  mabomba hayatoi maji ,mitaro imeziba miundo mbinu imechakaa sehemu ya kuweka taka ni hoteli majiko ya kukangia samaki ya makaa ya mawe wanatumia kuni maji ya kupoozea mkaa wanatumia vibobo ,nauliza kuna uongozi pale unakusanya ushuru ,kila siku zinapo songa mbele soko linazidi kuchakaa ha tuwezi kukaa kimya kwa hili wana JF NAWAKILISHA .,Nimesahau moja mateja wanaongezeka nini kifanyike
   
Loading...