Hawa TANESCO vipi?

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Imekuwa ni kawaida kwa TANESCO kutoa tamko pale ambapo kunakuwa na kukatika kwa UMEME.Ni muda sasa kumekuwepo na kukatika kwa umeme maeneo mengi ya nchi, nimejaribu kufuatilia ni nini tatizo sijapata.Wadau mwenye habari ya kwa nini umeme unakatika kila siku hasa mida ya jioni mpaka usiku wa manane anijuze maana mambo yangu mengi yameathirika sana na hili tatizo
 
badra masoud vp uko wapi.........? kule kwetu kijichi hali ni hiyohiyo, mara nyingine unakuwa (veryfaint) hauna nguvu kabisaaaaaaaaaaaaaa. bora hata mshumaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom