Ubinafsi unafanya watu wachafue wasiochafuka, dhambi kubwa

nahavache

JF-Expert Member
Apr 3, 2009
871
246
Ni ubinafsi wa hali ya juu na hata kutoona aibu kwa mtu mwenye akili timamu na anaoujua ukweli kuja hapa kupoteza muda wake mbele ya watu wenye upeo wa hali ya juu kuisafisha CCM na kuuponda uongozi wa Dr. Slaa. Kama dhamiri yako hata haikusuti ukimuita Dr. Slaa fisadi kwa sababu eti umenyimwa nafasi ya kuongoza. Nadhani mtu ngesikilizwa saana kama angeongelea unyonyaji uliofanywa na CCM kwa zaidi ya miaka 30. Angeongelea kuuzwa kwa Loliondo, Bilioni 133 za EPA, Bilioni za Richmond, Bilioni za Rada, Mabilioni ya TBS (Nashangaa vyombo vya habari vimekaa kimya wakati TBS wamefanya ufisadi mkubwa), Mabilioni yanayotafunwa huko kwenye mifuko ya umma kama PPF, NSSF, NHIF… na kadhalika kuliko kuongelea milioni kumi. Sijui TUMTEMEKE umepewa shilingi ngapi ili uchafue watu ambao itakuwa vigumu kuchafuka kwa sababu sio mchafu. Hata humuogopi Mungu. Watanzania tuache ubinfsi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom