Angalizo! Kwa wenyeji wa Arusha mjini hasa huku Sakina, tangu juzi mgao umepamba

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Bila shaka WanaJF wa hapa Arusha Mu wzm wa afya njema. Msishangae mki2kosa baadhi ya MEMBERS humu ndani ktk siku za usoni. Mi nitasema kama ninavyoona ya kwmb tangu jz j'5 ya tar. 7/09/2011 usiku hatujawahi kupata umeme ktk masaa 7 iliyosimama na ukizingatia wizara ya nishati imeshatangazia UMMA ya kwmb mgao imepungua,Sasa kinachonishangaza si bora ule mgao ungeendelea tu? Maana Mi naona kama hii laini ya kwe2 tunaonewa sana. Hatutendewi haki hata kidogo kama wengine wanapata umeme wengine tunakosa. NAWAKILISHA WAJAMENI.

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Jamani hali hii ni soo huku kwetu. Kweli serikali legelege kama hii mwisho wake ni mbaya kwa raia wake. Tangu juzi umeme hamna,Halafu wanasema uchumi unakuwa,Mi siwezi sema zaidi.

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,163
1,076
sio huko kwenu tu arifu,,, huku njiro wamekata tangu alhamisi ya tarehe 8/9, continuously mpaka sasa hatujaona kitu, wakati kiratiba jana ijumaa jioni ilitakiwa tupate umeme mpaka saa tano usiku, na leo asubui pia ilitakiwa uwe umeshawaka,,, sasa nashangaa,,, nashindwa kuelewa symbion kama imewashwa inaleta umeme positive au inachukua hata ule uliokuwwepo na kupunguza zzaidi

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,163
1,076
afwazali,,, njiro wameuleta asubui hii saa moja kasoro dakika nne,,, mtaa mzima kwa pamoja wamesikiku ''hhuuuuuooooooooo'''

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
afwazali,,, njiro wameuleta asubui hii saa moja kasoro dakika nne,,, mtaa mzima kwa pamoja wamesikiku ''hhuuuuuooooooooo'''

Arifuu! Afadhali yenu! Mpk hv tunateta hakunaga ki2 kama hiyo na nafikiri waki2rudishia shangwe na fifijo mtasikia huko mlipo Njiro,,,,,,,,,hii NOMA ARIFUU!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,623
4,278
Hata mimi naishi Sakina mkuu! nilikua nimejipunzikia kwenye kabaa fulani napata moja moto moja baridi nikawa nateta na wanywaji wenzangu kuhusiana na hili swala la mgao wa umeme tena kwenye mikoa iliyochukuliwa na wapinzani, pembeni yetu alikua amekaa jibaba fulani kwa mtazamo anaonekana kama mtu wa serikali ya Magamba, akajoin kwenye maongezi yetu kuhusiana na sakata hili la Ngeleja kukatika kwa umeme eti akatuambia na bado hakuna rangi tutaacha kuona kwakua eti mkoa wa Arusha tumeamua kuwapa wapinzani ubunge na asilimia kubwa ya madiwani, na akasema eti si mnaona hata ile mikutano mikubwa ya kimataifa imehamishiwa Dar es salaam kwahiyo tutegemee kiama kikubwa! Halafu akaishia huku akisema katika miaka hii mitano tutaona mpaka rangi ya upepo!

matwi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
276
64
duuuh!! yani huku wamerudisha baada ya masaa 25 na umawaka na kukatika ovyo sijui wanmpango gani hawa tabunesco

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,335
5,509
Sisi huku Mianzini nadhani tumeunganishwa na line ya Ikulu kama sio ya mochuari! Haukatiki hovyo. Na hata ukikatika ni dk chache tu unarudi!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Best yani kwa hali hii UKOMBOZI hauko mbali we waache tu wajifanye wana2komoa maana iko siku isiyo jina na bila shaka hapatatoshaga Tanzania hii.(napata moja moto moja baridi nikawa nateta na wanywaji wenzangu kuhusiana na hili swala la mgao wa umeme tena kwenye mikoa iliyochukuliwa na wapinzani, pembeni yetu alikua amekaa jibaba fulani kwa mtazamo anaonekana kama mtu wa serikali ya Magamba, akajoin kwenye maongezi yetu kuhusiana na sakata hili la Ngeleja kukatika kwa umeme eti akatuambia na bado hakuna rangi tutaacha kuona kwakua eti mkoa wa Arusha tumeamua kuwapa wapinzani ubunge na asilimia kubwa ya madiwani, na akasema eti si mnaona hata ile mikutano mikubwa ya kimataifa imehamishiwa Dar es salaam kwahiyo tutegemee kiama kikubwa! Halafu akaishia huku akisema katika miaka hii mitano tutaona mpaka rangi ya upepo![/QUOTE]

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Sisi huku Mianzini nadhani tumeunganishwa na line ya Ikulu kama sio ya mochuari! Haukatiki hovyo. Na hata ukikatika ni dk chache tu unarudi!

Mkuu!! Yani yaelekea huko mtaani kwenu mpo ile lain ya idara ya maji bila ya kukosea,hebu mtafute IGWE,Bushbaby waulize mambo yalivyo huku kwe2!

Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,590
434

Mkuu!! Yani yaelekea huko mtaani kwenu mpo ile lain ya idara ya maji bila ya kukosea,hebu mtafute IGWE,Bushbaby waulize mambo yalivyo huku kwe2!

kile kijiwe changu cha kuchomelea nimeamua kukifunga mkuu, waliona ninaufaidi usiku sasa wanachukua 48hrs tangu j'tano hakuna kazi!!! Sijui huyu ngeleja ni mchawi?? coz tangu J'pili atangaze mgao kwisha hali ndo imekuwa mbaya yaani bora tu asingeongea chochote...

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
kile kijiwe changu cha kuchomelea nimeamua kukifunga mkuu, waliona ninaufaidi usiku sasa wanachukua 48hrs tangu j'tano hakuna kazi!!! Sijui huyu ngeleja ni mchawi?? coz tangu J'pili atangaze mgao kwisha hali ndo imekuwa mbaya yaani bora tu asingeongea chochote...

Pole sana Kamanda! Nafikiri aya ya Ndallo umeipitia,akipekenyua maneno aliotoa njemba mmoja mwenye asili ya mapapa. Hakika Mi cjui 2naelekezwa wapi. Hebu 2subirie 2one wanachotaka kufanya. POLE KAMANDA WANGU,Ntakuseach kupitia PM. Siku Njema!

seniorgeek

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
500
128
Ngeleja aliposema giza limeisha, ni kweli! Huku kwetu kuna mbalamwezi ya kufa mdudu mpaka vichochoroni. Na hii ilianza mara baada ya ngeleja kutangaza mwisho wa giza.
Big up Ngeleja kwa mitambo yenu kuweza ku power mwezi.
Shida watu wengi hawakumuelewa.

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,335
5,509

Mkuu!! Yani yaelekea huko mtaani kwenu mpo ile lain ya idara ya maji bila ya kukosea,hebu mtafute IGWE,Bushbaby waulize mambo yalivyo huku kwe2!

Nadhan hili tatizo halimu affect kabisa IGWE maana kazi yake ya showshine sidhani kama anautumia. Labda kama ana chinese technology!
Bushbaby nampa pole sana maana kwa style hiyo, ataenda nyumbani watoto hawana cha kumpokea.
Wewe mkuu, poleni sana maana kwa watu wa uswahilini tatizo linaenda mbali zaidi. Yaan anakuja jiran kalewa, anaingia kwako, anaanza kumkumbatia mkeo na kidume upo ndani kisa eti kakosea chumba sababu ya giza na ulevi noma!

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Hizo ni njama za magamba kwa sehem zilichukuliwa na upinzani ili next election mwape wao

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Jama hakika hawa wagawa umeme line ye2 ni soo kbs! Wamewasha saa 13:35 wakakata saa 15:18 hakika hali ni tata Sakina ye2.

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Tangu juzi huku kwe2 Sakina ha2kuwa na mgao,lakini tangu jana hawa magamba walivyojitangazia ubunge mgao ukawa kama kawa na ningependa nijuwe km ni huku kwe2 tu ama ni kote wajameni.

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,163
1,076
Tangu juzi huku kwe2 Sakina ha2kuwa na mgao,lakini tangu jana hawa magamba walivyojitangazia ubunge mgao ukawa kama kawa na ningependa nijuwe km ni huku kwe2 tu ama ni kote wajameni.

ndugu yangu liverpool,. Ni sehemu kubwa ya mji wetu ipo hivo hivo,,, hata huku njiro, tangu jumamosi nadhani haujakatika ile full day kama kawaida ya mgao, wakikata, wanakata labda 4 maximum ya half an hour, then unarudi, jana kutwa nzima pia umeshinda, na mpaka saivi upo,,,, ndo kwamba mgao umeisha ama?? Si watangaze rasmi,,, magamba bana

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom