Hivi mawaziri/manaibu waziri awaruhusiwi kulala na machangudoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mawaziri/manaibu waziri awaruhusiwi kulala na machangudoa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 14, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ndugu wapendwa
  embu tuwekane sawa leo hii najua wengi watarudi kwa yaliomkuta kijana wetu lakini najiuliza tatizo ni naibu waziri kulala na changudoa mweevu ama
  1.kutoa nje ya ndoa yake
  2.kupoteza nyaraka za serikali kupitia chagudoa
  3.kupoteza hela za familia haapa naongelewa mume na mke kisa machangudoa
  4.nimejiuliza hivi kama ameenda moro akakaa siku 5 akawa na chagudoa hivyo huko dodoma wamama zetu mnaibiwaje ndoa zenu??

  Mungu tuepushe ubunge wa 2015 tusibadilike kwenye ndoa zetu
   
 2. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  ngoja nipate caste lite nikija ntaongea
   
 3. K

  Kiula Senior Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mawazili au Naibu waziri ni sawa na binadamu wengine na mahitaji yao yanafanana, sasa sijaona kama kuna haja ya wao kutoshiriki katika matendo hayo. Ingawa inatemea na mazingira aliyopo
   
 4. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Tutende hak jama kila mtu anaruhusiwa ila cha msing tuwe makini tu tucje tukamalimiwa wazir gonga ngozi fasta mtembeze habar zakunyonyana chuchu kama ndama za nini?
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hawana bodyguard....so careless. Mawaziri ndio kama binadamu but ni kioo cha jamii, sasa ikiwa wao ndio wanalala au shabikia changuduoaz unategemea kutakuwa na jamii yenye maadili mema.

  Wenzetu waliendelea mawaziri au maraisi wakiwa na maskendo ya uchafu kama haya wanalazimika wajiuluzu but kwetu ni jambo la kawaida.
   
 6. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wabunge wengi wa kiume kutoka upinzani wanafanya ngono na Viti maalumu CCM.HATA wanaume wa CCM wanazini na Viti maalum Upinzani.Ushahidi upo!Ukimtembelea mbunge wako hotelini wengi wanatia aibu,wanaendekeza machangudoa! Huu ndio mtandao wa ngono!Wakija kwetu wanakuwa wapinzani lakini wakienda hotelini wanakuwa wanangono.Siku ya siku ikifika wanasingizia sumu.
   
 7. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jiandae kugombea Bunge letu asilimia Tisini hawana ujasili wa kupima ukimwi ,jiandae kugombea miaka ijayo.
   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa yaani wabunge wa viti maalum ni wanamtandao hatari sana huko bungeni wanangonoka tu tena wengi wao na mawaziri ili wapate chochote maana wako pale kimaslahi zaidi,ni hatari sana nashauri wafute viti maalum kuepusha mambo mengi sana
   
Loading...