Mama amnajisi mwanae wa kumzaa

Mama amnajisi mwanae wa kumzaa

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
3,062
Reaction score
1,299
Nimesikiliza Clouds fm jana na Leo,kuhusu mama wa miaka25,kumuingiza vidole mwanae wa kumzaa wa miaka7,pamoja na kumuingiza (penis za plastic)kwa kutumia oil kabisa jaman
mbele na nyuma na kumuharibu kabisaa!kumuacha wazi! Mama uyo alipewa ujauzito akiwa form one,na hamjui aliyem-mimba!
Mtoto huyo alianza kumuogopa mwanae na alipobanwa sana ndipo alipoeleza yote.
Mama mzazi anasisitiza hajui alipokifanya,hajielewi,na anaomba hata apelekwe jela mwaka mzima ndo akili atajua..jaman Hii dunia inaenda wapi?
 
jamani hamjamsikiliza aunt sadaka ?hata mama mtoto atakua amefanyiwa unyama wakati huo
 
hata kama jaman,iv kwel mtoto ana kosa gan, sadaka anasema n saikolojiko problem,.jaman!me ata sielew,mda wote uo hash2k tu kuwa she was wrng,n wat made her buy iyo ndude ya kumdu mwanae jaman bila ata kushtuka !dah
 
nlitaka kuuliza kitu lakini ngoja tu ninyamaze niendelee kushangaa mambo ya ulimwengu huu.
 
shule muhimu sana... alikuwa anampa raha..... dada wa watu anajua raha ya ngono ni kwa kila mtu hata watoto ambao wanajui umuhimu wa vitundu walivyo navyo ni kukojolea nakunyea!
 
Nimesikiliza Clouds fm jana na Leo,kuhusu mama wa miaka25,kumuingiza vidole mwanae wa kumzaa wa miaka7,pamoja na kumuingiza (penis za plastic)kwa kutumia oil kabisa jaman
mbele na nyuma na kumuharibu kabisaa!kumuacha wazi! Mama uyo alipewa ujauzito akiwa form one,na hamjui aliyem-mimba!
Mtoto huyo alianza kumuogopa mwanae na alipobanwa sana ndipo alipoeleza yote.
Mama mzazi anasisitiza hajui alipokifanya,hajielewi,na anaomba hata apelekwe jela mwaka mzima ndo akili atajua..jaman Hii dunia inaenda wapi?

Nimesikitiika sana na habari hii.
 
kuna maovu mengine hata shetani atakuwa anayaogopa.
 
yan shetan anarun hii dunia na anawanachama weng sana wanaompokea na kumhug kabsaa..na inakuw rahs kupelekeshwa nae
 
Back
Top Bottom