Yanayotokea kwenye hospitali za watanzania wa KAWAIDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayotokea kwenye hospitali za watanzania wa KAWAIDA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyalotsi, Mar 18, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Dr:Nurse tuwe tunafanya urine dipstic kwa huytt mgonjwa kila siku kuangalia urine protein. NURSE: Hizo ziliisha mwezi sasa,labda nikaazime wodi nyingine. DR: BP ya huyu mgonjwa ni 160/100 anapata dawa kweli? NURSE: Kila mara pharmacy wanaandika O/S kwenye prescription. DR: Wapatie ndugu wakanunue. DR: x-ray wanasemaje,mbona haipo? NURSE: Film zimeisha dr. DR: Nataka kupima RBG. NURSE: Glucometer imeharibika,tulitolea taarifa mwezi uliopita hakuna majibu. DR: Dada nahitaji kukutibu,ila hakuna dawa,na vipimo hivyo tusubiri mpaka vitakapopatikana au kama unaweza waambie nduguzo wakagharamikie nje ya hapa. MGONJWA: Mimi sina hela na ndugu zangu hawana uwezo. Naomba unisaidie dr. Hii imetokea karibuni kwenye hospitali yenye rank ya mwisho nchini,siku chache baada ya madaktari kuambiwa ni wauwaji,na magaidi.
   
 2. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Haya ni mazungumzo ambayo mtanzania wakawaida huamini kabisa kwamba Dr anataka kitu kidogo.
  If we dont go beyond hiyo point sioni ni vipi tutaamini kwamba serikali ya CCM haiko tayari kununua vifaa vya sibitali.

  Wananchi wengi hatuwaungi mkono madaktari katika madai yao kwa sababu tunaamini fika kwamba madaktari ni watu wakorofi wenye kutaka kitu kidogo ili watoe huduma. Ni kweli kuna tatizo hilo kwa kiwango fulani kwa sababu ma Dr nao ni watanzania wenzetu, lakini wakati huo huo tunasahau kwamba serikali kila mwaka hupanga bajeti ya mabilioni ya kununua vifaa vya sibitali ambayo huishia kwenye mifuko ya Wezi wanao fugwa na serikali ya CCM.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hapo bado mgonjwa hajaomba nauli au hela ya kula
   
 4. S

  Skype JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mkoloni mweupe njoo wazalendo weusi tupone na utuondoe kwenye makucha makali ya mkoloni mweusi.
   
 5. m

  massai JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Madoctor walikua na hoja nzito sana tofauti na watu wengi walivyokariri kua madoctor wanapigania maslahi bora.apana madoctor wanataka waboreshewe sehemu yao ya kufanyia kazi.mahospitali hayana vifaa vya kufanyia kazi na madawa pia hakuna.sasahivi ukiwauliza madactor kipi kitangulie kati ya vifaa vya kufanyia kazi,mazingira bora ya kazi yaboreshwe,hakika watakwambia mazingira bora na vifaa kwanza hatakama itachukua miaka kumi watakubali.madoctor wamechoka kuona watu wanakufa kwa kukosa vitu vidogo katika utendaji wao wa kazi kila siku.
   
Loading...